DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hapa ndio ule usemi wa kaburu P.W.BOTHA
Unapo pata nguvu kuhusu mtu mweusi ""BLACK PEOPLE""
Ahaaaa 😁😁😁 kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio ule usemi wa kaburu P.W.BOTHA
Unapo pata nguvu kuhusu mtu mweusi ""BLACK PEOPLE""
Hawajielewi hao TRCAjabu kabisa nimejaribu hapa ni kweli ukikata tiketi ya pugu, siti inakuwa close maana yake mtu akitaka hiyo siti kwenda dom atakosa
Sio makosa, kuna wanaotoka Dodoma wanashukia hapo.station kujengwa pugu ilikua ni makosa, ila ndo ishajengwa, msijari mtakua mnalipia nauli ya morogoro kwenda hapo pugu kwenu😊
Kwani hadi iseme??Kwani serikali imesema inafanya biashara?
Nimejua nasumbuka na kifuu juu ya shingo. Acha nitulie.siyo lazima ndiyo kama mambo yote siyo lazima, hata treni ya umeme inayokwenda 160 km/ h siyo lazima pia, ajabu unaongelea matumizi mabaya ya rasilimali kivipi? kutakuwa na treni ya ya express pia ambayo haitasimama vituo vidogo na kutakuwa na treni nyingine ambayo itasimama kila kituo kilichojengwa kwani watu wa Pugu na kwingineko ni walipa kodi pia …
Imeshasema hafanyi biasharaKwani hadi iseme??
Wana ile ya mwakyembe wapandeNaskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?
Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi
Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara
Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?
Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
Miembe saba anashukia wapi?Kuna rafiki yangu anakaa miembe saba,na anafanya kama afisa wa juu wa kati uhamiaji hawezi kukuelewa kumwambia asiishie mlandizi
Wakati wa kukagua ticket unapozwa buku 5 unatulia kimyaa ukikusanya kwa watu 10 tayari elfu 50 takoni umetulia.Kwani njiani hawakagui ticket?
uthibitisho?