Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

nimepoteza hela yangu bure kwenda driving school maana noah zenyewe zinazidi kuyeyuka
 
wawekezaji watakao kuwa tayari kufuata taratibu zetu
 
Ha ha ha kumbe jamaa alikuwa anawasaidia hawa wakubwa...jamaa akaona isiwe tabu nj kumzima tu....duh naenda zimbabwe
 
Ktendo cha kusea


Acha kuleta siasa katika vitu visivyo itaji siasa
Nafikiri umeniquote kimakosa mkuu..

Kama sivyo basi jitahidi kushirikisha ubongo wako huo ulioganda kabla haujaquote watu!
 
Mkuu aliwahi kudokeza ,kama kuna watu wako tayari kuleta teknolojia kubwa kwenye ujenz wa barabara ,madaraja na the likes kwanini watu haohao wasitukodishie bucket wheel excavators na mitambo mingine tufanye kazi wenyewe
 
Hayo madina ilifaa tuyachimbe wenyewe. ila hilo litakuwa ni tatizo sana kwa watu wasio julikana.
 
Hivi HaWa accacia wakiondoka nasi tukianza kuvuna dhahabu kwa kutumia zana zetu, je tutaingiza hiyo dhahabu kwenye masoko gani? Naomba msaada kwa wale wanaoelewa uchumi wa madini duniani namna unavyoendeshwa.
Mkuu uchimbe kwa jembe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…