Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Hakuna kinachodumu milele, hata hio hali sio ya milele itapita tu kwake, chamsingi endelea kurekebisha pale unapohisi ndio tatzo kuna siku atarejea nyumbani kama mwanzo coz anaonekana ametekwa nje kwa mkopo.
 
Go with the flow, jiulize kwanza ni kwanini uko hapo, ukipata jibu lizingatie. Kusema ukweli kuzaa watoto baba tofauti haipendezi, hata kama una mpango wa kuondoka jitahidi upate watoto wawili wa baba mmoja.
Mtoto wa pili anapataje wakati jamaa mwezi mzima hagusi [emoji23]
 
Sawa sawa mkuu.
 
Duh
 
Kaa kwenye mji wako, maana ulijipendezesha, ukajitongozesha, ukajishikisha mimba na mengine ambayo hukueleza hapa. Jitihada zilikuwa zako, pengine hali uliyoigundua sasa ilikuwepo tangu awali, Ila zile jitihada za kuuteka moyo wake, zikakufanya usione hiyo hali. Ulimkuta na maisha yake, pekee, pengine ndio anachopendelea na amekupa ulichokitaka. Nenda naye taratibu huku uliendelea kumchombeza, pengine atazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…