Ndio maana nikakwambia hilo ni suala la uongozi, waandae bajeti waite watu wa plumber waangalie ni namna gani watavuta maji kutoka visimani kwenda vyooni, mboni Mzumbe Mbeya Campus wameweza UDOM wanasindwa nini kuiga? UDOM nini kinawashinda kuiga kutoka vyuo vingine? Nakuuliza wewe wanashindwa nini?Kwa sababu kuna maji
Udom maji hakuna,, hadi ukasombelee kisimani.
Lakini kwani kusombelea maji kisimani ndio kunampa mtu authority ya kushusha limzigo lake Bila maji?
Ni ujasiri wa hali ya juu sana.
Nifike chuo Ili nigundue Nini?kama chuoni kwenyewe mnapeleka kunguni na mnachafua vyoo hovyohovyo!?? Bangladesh!Wewe unaonekana hata Chuo hujafika, hujui unachokisema
Pesa za ada wanazolipa kuna fungu linakatwa kwa ajili ya usafi moja ya usafi ni usafi wa vyoo na vyoo haviwezi kua safi km miundombinu ya maji ni mibovu maji ya shida wanachota kwenye visima mtu anahangaika na kindoo Cha maji akakate gogo wakati somewhere kuna wenzao maji yapo bafuni na vyooni ni suala la kubinyeza koki tu, kwa hio lazima wahoji usiwe zuzu
Mimi sio mwanachuo, huko nilishamaliza kitambo sana sio km wewe ambae hata kukanyaga haujakanyagaNifike chuo Ili nigundue Nini?kama chuoni kwenyewe mnapeleka kunguni na mnachafua vyoo hovyohovyo!?? Bangladesh!
Ngoja wajeSio UDOM tu hata hapo UD kuna vyoo inabidi uvute pumzi ndio uingie kukojoa. Ukitoka unanuka harufu ya choo
Kuna hall 5 upande wa vyoo ilikuwa ni hatari kwa afya, maji ya mavi yalikuwa yanatiririka hovyohovyo
Sijajua miaka hii hali ikoje
Nikakanyage Ili nigundue nakuuliza,maphilosopher wote kina Aristotle,Plato, Socrates, Immanuel Kant ,Karl Max walishafanya Yao,Sasa Habiba mie wa watu nitagundua lipi jipya?ni kama we mwenzangu Umegundua Nini huko chuo zaidi ya Plagiarism?Mimi sio mwanachuo, huko nilishamaliza kitambo sana sio km wewe ambae hata kukanyaga haujakanyaga
Kumbe bibie waitwa Habiba ngoja nikufuate private, tuzungumze Jambo moja mkuuNikakanyage Ili nigundue nakuuliza,maphilosopher wote kina Aristotle,Plato, Socrates, Immanuel Kant ,Karl Max walishafanya Yao,Sasa Habiba mie wa watu nitagundua lipi jipya?ni kama we mwenzangu Umegundua Nini huko chuo zaidi ya Plagiarism?
Habiba mie wa watu na wasomi wapiwapi?hatuzungumzi lugha mojaKumbe bibie waitwa Habiba ngoja nikufuate private, tuzungumze Jambo moja mkuu
Bibie Habiba kaa ukijua wewe na wasomi mtazungumza lugha moja kwa hakika wala usitie shaka mkuu, huna baya hata kidogoHabiba mie wa watu na wasomi wapiwapi?hatuzungumzi lugha moja
Kwahiyo huo muda wanaoandaa bajetiNdio maana nikakwambia hilo ni suala la uongozi, waandae bajeti waite watu wa plumber waangalie ni namna gani watavuta maji kutoka visimani kwenda vyooni, mboni Mzumbe Mbeya Campus wameweza UDOM wanasindwa nini kuiga? UDOM nini kinawashinda kuiga kutoka vyuo vingine? Nakuuliza wewe wanashindwa nini?
SanaaaKaribia vyuo vyote wapo hivo sio udom tu, baadhi ya wanavyuo wenyewe ni wachafu,nje wanavaa vizuri ila tabia zao sasa
Kwani hicho Chuo kinaongozwa na Mazuzu? Usitake nitukane hapa bureKwahiyo huo muda wanaoandaa bajeti
Wanafunzi waendelee tu kunya juu ya vinyesi vya wenzao!
Mtu mwenye akili timamu huwezi kunya kwenye choo kichafu..
Unakunya unaacha mavi yako!
Mbona inawezekana kuchota maji..
Ukijisikia uvivu, beba kila kitu miswaki sabuni, ukaoge na kunya vyoo vya darasani.
Issue sio wanafunzi nyinyi hamuelewi nyinyi mnajifanya km hamuishi na watoto ushawahi kumpa mtoto remote ya TV ukamuona anavyoifanya baada ya Nusu saa? Huna watoto wewe? Hauishi na watoto? Utasema kwani wanavyuo ni watoto? Acha ujingaSanaaa
Mkuu huko vyuoni tumepita Kuna watu ni Wachafu sana. Pamoja pia na miundo mbunu kuwa mibovu.Issue sio wanafunzi nyinyi hamuelewi nyinyi mnajifanya km hamuishi na watoto ushawahi kumpa mtoto remote ya TV ukamuona anavyoifanya baada ya Nusu saa? Huna watoto wewe? Hauishi na watoto? Utasema kwani wanavyuo ni watoto? Acha ujinga
Nimekuuliza watoto sijakuuliza watu usijitoe ufahamu, una watoto au huna watoto? Ushafanikiwa kuzaa?Mkuu huko vyuoni tumepita Kuna watu ni Wachafu sana. Pamoja pia na miundo mbunu kuwa mibovu.
Basi ndio ujue wanaoenda kusoma pale ni watoto wameacha wazazi wao huko majumbani kwa hio kuna namna ya kuwa-handle watoto na kuwajengea miundombinu rafiki sio unawaweka km mifugo fulani alafu unasema Mimi kuna watu nilisoma nao, nonsense hauwezi ukasema sijui Mimi nilisoma na watu fulani wakawa hivi na hivi nimekwambia km una watoto utakua umenielewa km huna watoto huwezi kunielewaNinao wengi tu
Mkuu, nimesema hivyo kwa uzoefu. Nilikuwepo UDOM kuanzia 2008 - 2011. Ingawa usafi ulikuwa ukifanyika kila siku, hilo halikuzuia vyoo kuchafuliwa. Vingeweza kusafishwa Jioni, lakini kufikia kesho yake Asubuhi, vikawa vimeshatumika ndivyo sivyo.Hilo suala sio la watanzania, ushaelewa hilo suala ni la uongozi wa Chuo wameajiri watu wa kufanya usafi wa vyoo kwanini vyoo vinakua vichafu, unasemaje watanzania kufanyaje?
Intake ya kwanza 2007.Hicho chuo ni kipya intake ya kwanza ni 2008 lakin leo kinazidiwa na Sua chuo cha mwaka 1984 vyoo visafi mpaka unafua nguo