Nakubali Mia kwa Mia,lakini Mwanaume akudharau,akuite MCHAWI,akwambie mtoto wake humpendi.akwambie wewe mzee,Mara sijui una jipya gani+kuchepuka aiseeee nakimbia.
Mara Mia achepuke lakini asiwe na gubu Wala maneno ya karaha,mbona unadumu Hadi kifo
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.[emoji109]
π―π€unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama.
π―π€akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.
AwoooteeeeLishakufa jitu
π―π€Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli
Unaongea point sana tunataka wanawake kama nyinyi mnaotuelewa wanaumeππumeona hapo tu
Na akipata anapigwa chini mapema sana. Mwanamke mchepukaji huwa hasamehewi hata kidogoMwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta
Ikin'yelo ndo nini To yeye?Enna kalumbu....lelo leka pakulya ikin'yelo π
Hakika, hayanaga muongozo...Hapana,ni vile tu hayana formula
π€£π€£π€£ mpaka apatikane mwaminifu πππππutaacha wangapi