Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Nyie wanyakyusa sio mwenzako ananitoa kamasi na huu uzee , walisema eti kama unataka mapenzi nenda Tanga waongo nakataa
Pole mkuu,kama huna amani kabisa ujue hiyo siyo sehemu yako mkuu
 
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwake....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
📌📌📌
 
Pole mkuu,kama huna amani kabisa ujue hiyo siyo sehemu yako mkuu
Amani ipatikane wapi ndugu ? Mkigombana kidogo yupo kyela au Tukuyu anakula ndizi akirudi basi maji mengi huko chini nasahau kila kitu [emoji3][emoji3] siku mbili tunazinguana tena akienda Tunduma anakuja na muhindi wa kuchoma basi najisahaulisha magumu japo nifurahi ila wapi [emoji848]

Vijana eeee , mimi nasema oeni jamani sio kwa hizi raha
 
😂😂😂😂😂😂👊
 
Kabisa, kama nilipo napata amani ya moyo vibaya mno vyengine nafanya kama sioni😇
Unafanya kama huoni,then maisha yanaendelea...maana hata hivyo hayupo mkamilifu
 
Back
Top Bottom