Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Wewe ndio ukifanya hupendi kufanyiw. Hujawah cheat? mbona muongo sana. Malaika wako mwenye huko mbinguni anaguna akisoma message zako😬😬😬
😂 Sijawahi for real
 
Ngoja waje watoe povu.

Ningepend kujua unashauri vipi ili tuache tamaa. Wanawake wazuri kama maua😀 utatamani tu uyanuse.
Zuruleni tu kikubwa msisahau watoto nyumbani
 
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
Mwenzako trudie kapata mtoto wa pili na bebi mwingine. Wewe lini?
 
Hata kama anakucheat yan huumii hata kawivu? mapenzi bila wivu hayaend

Napenda sana mwanamke akinidekea yani udhaif wangu😀
Ukicheat unakuwa umejipanga kudekewa nje
 
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
Sometimes mapungufu yanazidi umuhimu wa mtu kwako.

Pia, mtu anaweza kuwa muhimu sana kwako, ila wewe usiwe muhimu kwake.

Kwenye mahusiano kuna vitu vingi sana vya kuconsider, upendo na umuhimu wa mtu are not the only deciding factors
 
Amehlo soma haya madini hapa. .
 
Back
Top Bottom