Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Sometimes mapungufu yanazidi umuhimu wa mtu kwako.

Pia, mtu anaweza kuwa muhimu sana kwako, ila wewe usiwe muhimu kwake.

Kwenye mahusiano kuna vitu vingi sana vya kuconsider, upendo na umuhimu wa mtu are not the only deciding factors
Kuna MTU unamwitaji bado pamoja na mapungufu yake
 
Ukicheat unakuwa umejipanga kudekewa nje
Sasa mbona mimi sijabahatika kupata mchepuko. Mda mwingine natamani ila naona kuna vigezo wanakosa. 😊
I believe mda mwingine inategemea na mtu na mahusiano yakoje
 
Sasa mbona mimi sijabahatika kupata mchepuko. Mda mwingine natamani ila naona kuna vigezo wanakosa. 😊
I believe mda mwingine inategemea na mtu na mahusiano yakoje
Hongera sana
 
Umuhimu lazma uhusiane na connection za pesa
100% , Uzi ulokiwe , umemaliza Kila kitu.

Michepuko yangu nayopiga Mimi licha kwamba Inajua Mimi ni mtu wa Sketi sana, wanatulia Kwa sababu Sisi wasukuma hatuna Roho mbaya Kwa mwanamke anayetupa Papuchi !!!.

Hapa nilipo, nipo njiani nampelekea Bidada Gauni Moja matata,. Kuna mpuuzi kaniletea mdomo mrefu Kazin, nikampiga mzinga wa maana.

Mzinga huo nmepita Mahali nmemnunulia Mchepuko wangu Gauni zuriii kwelikweli Kwa Elfu Hamsini na Nane .( Kuna wapuuzi mtasema iyo Hela ndogo sana, namimi nawaambia, acheni wivu)🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom