tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
HayaSwali la kiwaki sana ili mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaSwali la kiwaki sana ili mkuu
😀😀😀😀😀"" ana gubu,maneno hayamwishi"
Trust me, katika vitu ambavyo nimeshindwa VUMILIA ni MWANAMKE MWENYE MDOMO.
Yaani Siwezi kabisaaaaa.
#YNWA
UnahelaSheikh nimeoa everybody knows sijawah ficha peke yako hujui. Nina kachanga na mvua hizi natafut mchepuko mwenye akil 😀😀
Nina kitambiUnahela
Sijaoa badoNijibu basii??
Malijendari sijui wanasemaje ??? maana wengine bado hatuna uzoefu kabisa. Yoyote kwa yote Mume mwema hutoka kwa BWANA na Bwana mwenyewe ndio Mimi hapa. Na Mke mwema hutoka ubavuni kwa Bwana.NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
😂😂😂😂😂🙌Nina kitambi
Nilikuwaga na hela. Nimefilisika vibaya mno mda mwingine nikiend kwenye shughul zangu namuomba wife 1000 la nauli
View attachment 2603836
My Favourite one 😇❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂😂Amina
hahahaha noma sanaUnahela