Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Nyie wanyakyusa sio mwenzako ananitoa kamasi na huu uzee , walisema eti kama unataka mapenzi nenda Tanga waongo nakataa
Pole mkuu,kama huna amani kabisa ujue hiyo siyo sehemu yako mkuu
 
📌📌📌
 
Pole mkuu,kama huna amani kabisa ujue hiyo siyo sehemu yako mkuu
Amani ipatikane wapi ndugu ? Mkigombana kidogo yupo kyela au Tukuyu anakula ndizi akirudi basi maji mengi huko chini nasahau kila kitu [emoji3][emoji3] siku mbili tunazinguana tena akienda Tunduma anakuja na muhindi wa kuchoma basi najisahaulisha magumu japo nifurahi ila wapi [emoji848]

Vijana eeee , mimi nasema oeni jamani sio kwa hizi raha
 
😂😂😂😂😂😂👊
 
Kabisa, kama nilipo napata amani ya moyo vibaya mno vyengine nafanya kama sioni😇
Unafanya kama huoni,then maisha yanaendelea...maana hata hivyo hayupo mkamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…