Una hoja madam...Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.
NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
Upo sana tu ila.....Mbona siye tumeshindwa......au umuhimu haukuwepo?
Nikija dodoma nitalala milembe hapana kwa kweli🤣🤣🤣Nimetoka pale mkuu,tumehamia dodoma
huu uzi haunifai mim ni mshenzi sana[emoji124]Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.
NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.[emoji109]
Milembe hospital 🤣🤣🤣Milembe kakatwa vidole
Na maisha yanaendaYeah,safi....haina kurembaa[emoji23][emoji23][emoji12]