Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
 
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwake....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.👊
Au nasema uongo jamani😂
 
To yeye umeolewa ?? Kama hujaolewa unashauri nani Nini?
Nakama umeolewa ushauri unampa akina nani wanaume au sisi Kwa manaa akili ya mtu anaijua mtu mwenyewe hata umshauri Nini hajali anajua anataka Nini period
Mwenye kuchukua anachukua mkuu.Aliyejitosheleza anasoma anapita
 
Slip and Slide Pool Party Season 6 Bikini Edition. Was lit, Mad turn up Of 1k Teens in the pool.mp4
 
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwake....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka hakubani,anakutunzia watoto vyema ila ana gubu,maneno hayamwishi usimwache jifunze kuondoka home kwa muda akianza kelele usisahau na vibao vya kushtukiza.

NB: Mwanamke Malaya hafanani na mwanaume Malaya....mtapinga ila ndo ukweli...
Mwanamke hawi na ndoa nyingi....akipata ya nje wewe wa ndani utajuta.[emoji109]
Nyie wanyakyusa sio mwenzako ananitoa kamasi na huu uzee , walisema eti kama unataka mapenzi nenda Tanga waongo nakataa
 
Back
Top Bottom