Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Nunueni tu jamani, Audi is a very good car ila tukumbuke tu Bush zake sio za elfu 25 wala ball joint zake sio za elfu 25!

Economy ya sheli inaweza kuwa nzuri ila tukumbuke filter na engine oil service haitapungua 200K.

Msije kumtafuta mchawi tuπŸ˜…
 
Gari gani ambayo sio hybrid ya cc hizo ikupe 23km/L 😁

Okay Calm Down

Imagine Audi zile za miaka ya 2000 ukiikuta A4 yenye 2.0 tena siyo FSI na haina S tronic Transmission inakupa 15Km/L highway.

Hiyo gari tunaizungumzia hapa ni gari ya 2011, Ina Cc1390, Ni FSI, Ina 7 speed S-tronic na tech mengine ya kutisha....

Weee amka usingizini.

Hiyo ingekuwa Hybrid ingekupa hata 50Km/L. 🀣🀣🀣
 
Wewe unamiliki gari gani?...
Unafikiri watu wanapenda IST sababu ya mafuta tu et
Ndio maana mimi nilisema mwanzo badala ya kununua IST new model bora kununua hiyo A1... Sababu haya kwenye hiyo IST new model bado hutopata unafuu kwenye spea...

Mnawasemaga wajerumani kwamba Ooooh Oil zenu gharama. Oil ya CVT ya kwenye IST new model ni laki na upuuzi.

Kama unazungumzia IST old model sawa.
 

Acha na Hiyo Kuna VW Golf R nyingi tu Top speed ni 320....

Kigari kidogo ila balaa lake lisikie tu....
 
Unajua fika Service utafanya lini... Agiza Filter nje....

Au service ya Gari huwa inatokea ghafla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…