Mafundi wabongo waliofel physics wanajua ninyl kinachoua magari mengi ni kukosea kuweka hydrolic oil lazima gear box ife ,sasa kama mtu anaweka tu ili mrdi hydrolic unadhani mzungu anataka utani, kingine hatuna utamaduni wa kusoma manual book tunabaki kufata maelezo ya mafundi matokeo wanakuponzaNimekuwa nikisikia mafundi kadhaa wakiwaasa watu wasinunue Audi sababu zinakufa sana gearbox, kuna ukweli?
Valvematic ni kitu kingine...Valvematic
Mafundi wabongo waliofel physics wanajua ninyl kinachoua magari mengi ni kukosea kuweka hydrolic oil lazima gear box ife ,sasa kama mtu anaweka tu ili mrdi hydrolic unadhani mzungu anataka utani, kingine hatuna utamaduni wa kusoma manual book tunabaki kufata maelezo ya mafundi matokeo wanakuponza
Kwan rival wa ist ndo hio audi ? Mpaka tuanze compare hvyo vituHahahah kwenye List yangu umeiona hiyo tu?
Okay niletee IST yenye Dual Variable Valve timing kama ipo.
Unaanza kucompare turbo na natural aspirated..... Kama zimetumia technology tofaut lazima zi perfom tofaut yamaha yzf125 ina cc 125 ni fuel injection..ina perform vizuri kuliko hata boxer bm150 ya carburettor...Gari za Mjerumani zipo mpa za Cc1000 na zina perform kuliko hata Cc1200 ya mjep.
IST rivary wake ni wajapani wenzakeKwan rival wa ist ndo hio audi ? Mpaka tuanze compare hvyo vitu
Umemaliza kila kitu..IST rivary wake ni wajapani wenzake
Na hilo vumbi barabarani utaikataa gari yako baada ya week tu.Hii ni convertible, weekend unafungua inakuwa wazi unakula kiyoyozi asilia.
Unaanza kucompare turbo na natural aspirated..... Kama zimetumia technology tofaut lazima zi perfom tofaut yamaha yzf125 ina cc 125 ni fuel injection..ina perform vizuri kuliko hata boxer bm150 ya carburettor...
Naomba hio engine ya germany cc 1000 kamili tuma engine name yake afu tui linganishe na hata 2nz
Swali pendwaSpea zinapatikana wapi?
Wewe jamaa utakuwa mechanical injiniaHebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.
Highway inakupa around 23Km/L wakati mjini inakupa around 16Km/L
Na kwa kuongezea tu Audi ya 1.4L inakuja na gearbox ya 7 speed S-tronic(Hii ni Direct shift gearbox),
Hizo dsg zimefungwa kwenye hatchback na sedan nyingi sana za mzungu tena performance cars kuanzia M sport kwenye bmw, AMG kwenye mercedes, R, RS kwenye audi na R, R-line kwenye VW
Sasa mwenye IST akikukuta barabarani anawaweza akahisi wewe ni mwenzake akataka akutunishie misuli kwamba anaweza ligi.... Weeeee atapasua block hivihivi anajiona.
Hii ni comment yako.. Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L...Hii ni inferiority mkuu.
Mimi hakuna sehemu nilimention turbo.
Au unahisi engine zote za Wajerumani zina turbo ndio maana zinajiweza?
Haya twende
Kuna engine ya VW inaitwa CHYB ina Cc 999, Haina turbo na wala siyo FSI. Imefungwa kwenye Baadhi ya Polo lakini pia imefungwa Kwenye Audi A1 toleo la UK.
Hiyo engine ina produce 74HP.
Tuje kwa 2NZ, Pamoja na kwamba ina Cc1290, Almost Cc 300 zaidi ya hiyo CHYB lakini inazalisha 84HP tu.
Mbaya zaidi kwenye Audi au VW hiyo engine inafungwa na 5 speed transmission wakati kwenye IST inafungwa na 4 speed transmission.
Sijui nimeeleweka?
Comparison yangu ilikuwa Cc1000 za mjerumani kwa Cc1200 za mjapani. Comparison ya hapa kuna gape la Cc300....
Umeongelea HP.. Vipi kwenye Torque..!!?Hii ni inferiority mkuu.
Mimi hakuna sehemu nilimention turbo.
Au unahisi engine zote za Wajerumani zina turbo ndio maana zinajiweza?
Haya twende
Kuna engine ya VW inaitwa CHYB ina Cc 999, Haina turbo na wala siyo FSI. Imefungwa kwenye Baadhi ya Polo lakini pia imefungwa Kwenye Audi A1 toleo la UK.
Hiyo engine ina produce 74HP.
Tuje kwa 2NZ, Pamoja na kwamba ina Cc1290, Almost Cc 300 zaidi ya hiyo CHYB lakini inazalisha 84HP tu.
Mbaya zaidi kwenye Audi au VW hiyo engine inafungwa na 5 speed transmission wakati kwenye IST inafungwa na 4 speed transmission.
Sijui nimeeleweka?
Comparison yangu ilikuwa Cc1000 za mjerumani kwa Cc1200 za mjapani. Comparison ya hapa kuna gape la Cc300....
Ubishani wetu haukuwa hapo mkuu...Hii ni comment yako.. Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L...
Bado hujaona wapi umemention TURBO!!!?
Kutembea kivipi mkuu?Umeongelea HP.. Vipi kwenye Torque..!!?
Maana Torque ndio yenyewe kwenye kufanya gari itembee..!
Gari kumove..!Kutembea kivipi mkuu?
Kwa hii engine nakubali kweli Yamaha hapo walifanya kazi yao....Mjapani engine powerful anazo nyingi tuu.. Ukitazama gari kama Alteza.. Engine ya 3S..1998cc. Hakuna Mercedes C class(1998-2005 production ya Tezza) ya 1998cc yenye nguvu HP kama hiyo Alteza..!
Ishu ni gari za Kijapani zipo limited.. Sababu ya gentleman's agreement..!
HP mattersGari kumove..!
Germans walikuwa na gentleman's agreement ila kuna makampuni kama Porsche hawakujali hilo.Mjapani engine powerful anazo nyingi tuu.. Ukitazama gari kama Alteza.. Engine ya 3S..1998cc. Hakuna Mercedes C class(1998-2005 production ya Tezza) ya 1998cc yenye nguvu HP kama hiyo Alteza..!
Ishu ni gari za Kijapani zipo limited.. Sababu ya gentleman's agreement..!