Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
check hiyoo attachmentZipo chini kwa sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
check hiyoo attachmentZipo chini kwa sh ngapi?
Unalinganishaje hali ya hapa kwetu na nchi nyingine? Kwani uchumi wetu uko "at par" na hizo nchi? mafuta yamepanda bei sana wakati hali za watanzania wengi ni ndogo sana. Nimesikia eti mama analinganisha nchi yetu na marekani!!!! Kwani uchumi wa Tanzania ni sawa na wa Marekani? Kima cha chini cha mshahara marekani ni sawa na kwetu!!!! Si sawa hata kidogo. Mafuta yamepanda sana sana. Itabidi wengi wetu tununue IST. I am seriously thinking of buying one!!!Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha ,kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum,diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi,Mombasa,Kisumu,Kampala ,Lusaka,kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Usitetee sana,hilo linaweza kufanyika ila kwa tahadhari ya kutokuathiri shughuli nyingine za uchumi.Haya ni maoni,nadhani hata wao hawafurahishwi kuona wananchi wao wakiteseka...Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?
Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?
Hakuna pimbi atafanya hili.
Zanzubar wao hawako soko la dunia?Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha ,kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum,diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi,Mombasa,Kisumu,Kampala ,Lusaka,kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Asa ndo unatuandikia kwa herufi kubwa ili tukuogope au?Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha ,kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum,diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi,Mombasa,Kisumu,Kampala ,Lusaka,kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Wewe ndo Samia? Kama ni hivyo mbona una kiwango cha chini kabisa cha akili?Wewe ulitaka ifanye nini? Unachotaka wewe hakitafanyika
Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Huu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?
mlituibia sana kupitia TANROADS nendeni mkazikwe CHATONi kweli bei imepanda duniani kote,,lakini serikali inafanya nini ili kudhibiti hiyo hali isiathiri sana maisha ya watu? kwa nini wasipunguze kodi na tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei.? nini maana ya Rais kama hawezi kupambana na changamoto zinapojitokeza?
Kigali mafuta yalianza kuuzwa sh 3100 kwa lita toka mwezi April mwaka huu
Wacha kutulisha ujinga wewe na walamba asali wote.Uki
Serikali itajiendeshaje bila ya kukusanya kodi? Yaani unataka apunguze kodi kwenye mafuta halafu wakaongeze kodi kwenye madawa, mbolea,vifaa vya ujenzi,n.k
Kenya wametoa ruzuku ya KSH. 1.2 billion kudhibiti mfumuko wa beiZZK ndie atakae kuwa mstari wa mbele kulaumu pindi serikali ikishindwa kulipa mishahara wafanyakazi kwa wakati, hospitali kukosa madawa, barabara kutokujengwa,kusimama kwa miradi ya maendeleo n.k nchi zote za afrika ya mashariki bei ya mafuta ya petroli na dizeli ni kuanzia sh 3000 kwa lita na kuendelea.
Waondoe kwa sababu tayari kila kata Kuna Kituo cha Afya, hospital au? Akili za kisoda..Lini madawa yalikuwepo?! Pamoja na hizo kodi? Kuna anaetibiwa bure na kupewa hizo dawa za hewa bure?!....
Sasa hivi si kuna matozo kibao mapya huko nyuma hayakuwepo?! Na bd kila siku wanakopa huko bs waondoe hizo tozo mpya maana hazikuwepo na hapakua na tatizo lolote..
Na tena hao kenya hawajaweka tozo kama sisi hapa!Kenya wametoa ruzuku ya KSH. 1.2 billion kudhibiti mfumuko wa bei
Wewe mwenye kiwango cha juu cha akili fanya Sasa au leta mafuta yako uuze bei ya chini sio kuniwekea mapovu miniWewe ndo Samia? Kama ni hivyo mbona una kiwango cha chini kabisa cha akili?
Tahadhari ya kutoathiri shughuli nyingine ndio ipi hiyo? Iweke hapa hiyo tahadhari ambayo Serikali haifanyi.Usitetee sana,hilo linaweza kufanyika ila kwa tahadhari ya kutokuathiri shughuli nyingine za uchumi.Haya ni maoni,nadhani hata wao hawafurahishwi kuona wananchi wao wakiteseka...