Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Unajaribu kutetea nini labda ili nikuelewe.

Maana huenda tunapoteza muda kwa kula kulala asiyetegemewa na mtu yeyote hapa duniani zaidi ya wauza bundle.
Ulisoma comment yangu labda? Ulitaka nisile na nisilale? Kwani ulilazimishwa kutengenezea wategemezi?
 
Waondoe kwa sababu tayari kila kata Kuna Kituo cha Afya, hospital au? Akili za kisoda..

Madawa yatakuwepo ya kutosha Pesa ipo ya kutosha? Kuzaa hovyo mumeacha?
Kwa hiyo nchi zisizo na tozo tayari kuna hospital kila kata?
Nchi zinazoongeza mishahara tayari wameacha kuzaliana kama panya?

Kodi tunayolipa watanzania inakwenda wapi?

Mirahaba tunayolipwa kwenye madini inakwenda wapi?

Mikopo ya mama yenu anayotuaminisha inakwenda wapi?

Unatumia bilioni 9 kwenye filamu halafu asubuhi kabla hujamaliza uzinduzi unatutwanga rungu kisogoni?

Wote mnaotetea huu ujinga ndio mnawaza kwa kutumia asali badala ya ubongo.
 
Zitto Kabwe ametowa ushauri mzuri na unatekelezeka kama kuna utashi.

Serikali ibebe huu msalaba kwa kuondowa sh 500 za tozo kwa kila litter ili wananchi wapumuwe.
Haha haaa! Umesahau kuna aliyetoa mia akaambiwa ashtakiwe kwa uhujumu uchumi? Hii mia tano kwenye budget haikuwemo? Tz full comedy
 
Kwa hiyo nchi zisizo na tozo tayari kuna hospital kila kata?
Nchi zinazoongeza mishahara tayari wameacha kuzaliana kama panya?

Kodi tunayolipa watanzania inakwenda wapi?

Mirahaba tunayolipwa kwenye madini inakwenda wapi?

Mikopo ya mama yenu anayotuaminisha inakwenda wapi?

Unatumia bilioni 9 kwenye filamu halafu asubuhi kabla hujamaliza uzinduzi unatutwanga rungu kisogoni?

Wote mnaotetea huu ujinga ndio mnawaza kwa kutumia asali badala ya ubongo.
Ndio maana nakwambia una akili ndogo afadhari na funza,unaweza Kuta na wewe ni msomi unauliza Kodi inaenda wapi 😄😄..

Nilitaka nisikujibu kwa sababu ntakuwa najichosha kujadiliana na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki..

Nchi zisizo na tozo,unajua uwezo wa kiuchumi wa hizo Nchi? Zinahudumia raia kiasi gani?

Yaani unauliza Kodi na mirahaba inakwenda wapi? Hapa sikujibu kwa sababu wewe ni mjinga,go find for yourself.

Royal tour unayoisemea ni nyenzo mojawapo ya kutafuta pesa Ili mke wako wewe mvivu akatibiwe,bil.9 hata mafuta ya nusu mwezi haitoshi.

Hujawahi msikia akikwambia anakopa kwa ajili ya miradi? Unapouliza inakwenda wapi wewe unaishi shimono?

Stupid monkey sikujibu tena upuuzi wako
 
Zitto Kabwe ametowa ushauri mzuri na unatekelezeka kama kuna utashi.

Serikali ibebe huu msalaba kwa kuondowa sh 500 za tozo kwa kila litter ili wananchi wapumuwe.
Kukiwa na tofauti ya tsh 500 kwenye Mafuta uwe na uhakika mipaka yote ya nchi umeilinda vizuri..maana wananchi wa nchi jirani watakuja kuponea kwetu.
 
Nitajie nchi ambayo haitozi kodi katika bidhaa za mafuta.Nchi itajiendeshaje kama haikusanyi kodi? Mnataka kuja tena kumlaumu kuwa hospitalini hakuna madawa, wafanyakazi kutolipwa mishahara kwa wakati n.k
Huondoi kabisa kodi, bali unaipunguza, na matumizi ya serikali yapunguzwe mpaka hali itakapokaa sawa...
 
Ni kweli mafuta yamepanda duniani ila tukisitisha kodi zilizopo kwenye mafuta, bei itakuwa stable, hivi wapinzani kwa nn wasichukue hii kama agenda? Bahati mbaya watanzania pia hatuna logic
Hahaaa! Wapinzani wanakumbukwa mambo yanapokua tigh
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Sipendi kabisa watu kutulinganisha na kwingine kwenye mabaya tu..!! mbona kule hivi mbona huku hivi..!! Hivi mbona hamlinganishagi barabara za lami zilizoko ushwahilini kwao na hizi za uswahilini kwetu?
 
Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?

Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?

Hakuna pimbi atafanya hili.
Sasa wakiagiza ndio serikali haitatoza kodi? Kwani wao ni serikali nyingine.
 
Wazo ni kwamba tuende tukanunue kule wanako nunulia wenzetu WA Zanzibar.......maana tunapishana nao kama 400 hivi au Mia 600...........huyo Dalali wao ndio tumpe kazi yetu .....tuachane na hawa wahuni
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Tuache uchizi hapa. Tuulize Kenye wakati Zanzibar hapo jirani ytu au mkoa wa jirani mafuta ni bei nafuu. Nenda ZnZ jionenee mwenyewe
 
Tatizo watu wa nchi hii sijui wakoje nani analaum?? Shida ya hawa watu wakipewa vyeo wanajisahau sana....hamna anaelaumu kiongozi ndio hutoa suluhu ya shida za watu wake....Watu wanachosema ni kodi kupunguzwa ili uchumi usianguke sasa anaefanya hayo maamuzi si Rais???
Hatuna Rais, huyu ni Rais msaidizi aliyekaimishwa baada ya Rais kutoweka hivo maamuzi yake ........
 
Ohol, huwajui hao!!
Usitetee sana,hilo linaweza kufanyika ila kwa tahadhari ya kutokuathiri shughuli nyingine za uchumi.Haya ni maoni,nadhani hata wao hawafurahishwi kuona wananchi wao wakiteseka...
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Uko sawa lakini?

Mi naenda Zanzibar na kidumu nikachukue mafuta. Kule bei iko chini kuliko kwetu.
 
Ndio maana nakwambia una akili ndogo afadhari na funza,unaweza Kuta na wewe ni msomi unauliza Kodi inaenda wapi [emoji1][emoji1]..

Nilitaka nisikujibu kwa sababu ntakuwa najichosha kujadiliana na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki..

Nchi zisizo na tozo,unajua uwezo wa kiuchumi wa hizo Nchi? Zinahudumia raia kiasi gani?

Yaani unauliza Kodi na mirahaba inakwenda wapi? Hapa sikujibu kwa sababu wewe ni mjinga,go find for yourself.

Royal tour unayoisemea ni nyenzo mojawapo ya kutafuta pesa Ili mke wako wewe mvivu akatibiwe,bil.9 hata mafuta ya nusu mwezi haitoshi.

Hujawahi msikia akikwambia anakopa kwa ajili ya miradi? Unapouliza inakwenda wapi wewe unaishi shimono?

Stupid monkey sikujibu tena upuuzi wako
Stupid monkey ni wewe @sunkcost ambae unashindwa hata kujiuliza ni kwa nini Tanzania nchi moja na Zanzibar lakini huku bara tuko juu kwa bei ya Mafuta halafu Zanzibar wako chini.

Ni mpumbavu kama wewe unaeshindwa kujiuliza kwa nini kenya isiyo na Raslimali asilia kama sisi.
Lakini imeweza kuongeza riba kiasi 1.2% kama serikali ili kusaidia bei ya mafuta isimuumize mwananchi kwa kiwango kikubwa.

Kenya isiyo na Tozo wala haifunguwi nchi,lakini imeongeza mshahara kwa wafanyakazi wake 12% ili waweze kupambana na hali ya uchumi na mfumko wa bei?

Usidhani wewe na wezi wenzio au wanufaika wa ufisadi na walamba asali mnayo fursa pekee kuwaza kwa niaba ya watanzania wote.

Ukubwa wa nchi pia unaendana na kiwango cha makusanyo ya kodi.

Hapa tunaongelea kodi za ziada kama hizo Tozo,ambazo kwa nchi za SADEC,zipo Tanzania pekee.

Mimi Monkey ninaumia sana kuona Monkeys tukiendelea kunyanyaswa.

Mungu akujalie wewe Binadamu.
 
Back
Top Bottom