Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

naomba kujua bei za mafuta zanziba zipoje kabla hatujaenda huko unapo tupeleka, tukumbuke tunapo fananisha hizi bei tusikimbilie kuchukua mifano ya bei ya juu tuu tuchukue na ya bei ya chini pia, lakini tunapofananisha pia tuangalie na kipoto cha chini cha kila mwananchi cha nchi husika tunazofananisha nazo.
pia tuanapo angalia pato la hao wananchi tuangalie na fursa zilizopo za kiuchumi kwa hizo nchi na tufananishe na fursa tanzania ilizo nazo.
Hebu fikiria je tz imeongeza asilimia yoyote ktkt siku ya may mosi kenya wameongezewa 12%, na nchi nyingine pia zimeongeza ila Tz lile jambo letu lipo palepale..... hebu rejea kauli ya nilikuwa marekani bei ya petrol hapa tz ni ndogo kuliko marekani, je wa tz wanafanana kipato na wamarekani nikukumbushe.
nikukumbushe pia kauli ya mama kila kitu kitapanda bei, kiongozi wa nchi alipaswa kuangalia ni namna gani na kwa mikakati ipi tutaepuka kupanda kwa bei ya vitu kutokana na vita ya Urusi na ukrein na si vinginevyo
Exactly , mama ni mfariji mkuu wa wananchi, awe muamgalifu katika kutoa kauli zake maana zinachochea ongezeko la bei za vitu.
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Ebu elewa kinachozungumzwaaa mzeee sio kwamb hatujui jwmb bei imepanda tunachooomba sisi wananchi serikaliii ifanye namna ya kustandardize izo tozooo ilii nafuuu kwenye bei yamafuta ipatikaneee
 
Kusema analaumiwa nao ni upotoshaji wa kujua au kutokujua. Watu wanalalamika kwa vile wanajua Mh Rais katika suala la bei ya mafuta yako yaliyo ndani ya uwezo wake. Kwa mfano kodi na tozo zilizoko kwenye mafuta zinafanya bei hii kuwa juu sana. Kwa nini asifanye kitu kwenye tozo na kodi? Hii vita ya Ukraime ni suala la dharura. Kama wana nchi walikuwa tayari wakati wa kabla ya vita kubeba hizo tozo kwa nini wanapo lalamika/ wakati huu wasisikilizwe na kupewa uzito unao stahili kwa kuchukuliwa hatua za makusudi? Bei ya mafuta madhara yake kwa bei za bidhaa nyingine yana wigo mpana kwa vile huhusisha gharama ya uzalishaji itwayo usafirishaji.

Hawa wanatuongoza wa ngazi za juu za kiuongozi gharama za mafuta ya usafiri wao zinabebwa na walipa kodi hivyo si ajabu kutoliona ni jambo muhimu na kulipa uzito hili la kilio cha kupanda bei za mafuta. Kongoli kwa Wabunnge mmeonesha kujali kuipigia kelele serikali kwa niaba ya wapiga kura wenu. Msiishie hapo lakini na nyie muone mtakavo punguza marupuru yenu katika kipindi hiki cha Crisis kwa sababu hamuwatendei haki waajiriwa wengine wanaolipwa kutoka hazina ya nchi kama nyie.
 
Wewe ni zaidi ya fala,lazima ununue na bei unazonunua ziko subsidized ndio maana dawa za hospital ni Bei nafuu kuliko za maduka binafsi,tumbili wewe.

Unataka bure,zalisha dawa zako na tafuta daktari wako.
Kwenye Mafuta Kuna Kodi zaidi Ya Ishirini! Na Kuna Kodi ambazo hata zikipunguzwa hazitaathiri miradi ya Serikali kama Maji, Barabara, Umeme nk. Maana Ni Fedha zinakwenda kwenye Government Spendings!
Kwasababu ni Swala la Dharula Serikali Haina Budi kupunguza matumizi yasiyo ya Lazima ili Kusawazisha Bei ya Mafuta Nchini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na tatizo kubwa katika Nchi hii ni kwamba kila inapopanda bei ya nishati yeyote ile iwe ni umeme au mafuta basi hapo huwa ni neema kwa wafanyabiashara !! Kwa kupandisha bei za bidhaa kiholela kwa sababu huwa hakuna udhibiti katika kusimamia bei za bidhaa !! Wanasema ni soko huria, na kibaya zaidi ni kwamba hata hapo baadaye bei za nishati zikishuka bado zile bei zilizopanda kwa sababu ya kupanda bei ya nishati zitabaki huko huko juu na kuendelea kupandaZaidi na zaidi ! Hapo sasa ndipo Serikali inapolaumiwa kwa kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara wanaojipandishia bei za bidhaa kiholela !
Tatizo sio sheria bali tatizo ni kwamba kuna ushirika kati ya wasimamia sheria na wanufaika wa haya matukio ya upandaji bei.

Biashara nyingi kubwa kubwa nchini zina mikono ya aidha mawaziri au wabunge au makatibu wakuu au mwandamizi fulani serikalini.
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Kiongozi dhaifu, kwanini asilaumiwe?. Nonsense
 
Vita ya Ukraine itamgusa kila mmoja wetu mpaka mkulima kule Ulyankuru ambaye hajui hata kuna vita mahali fulani Duniani.

Wafaidikaji ni makampuni makubwa ya Mafuta. BP huko Uingereza imetangaza faida ya kufa mtu.

Ushauri wa Bureee: Wanasiasa msilale kanunueni mafuta toka Urusi, Msimuogope Mmarekani wala Ulaya. Tumeni meli LEO....
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Zambia ni sh. 2400/- Unasemaje hapo?
 
naomba kujua bei za mafuta zanziba zipoje kabla hatujaenda huko unapo tupeleka, tukumbuke tunapo fananisha hizi bei tusikimbilie kuchukua mifano ya bei ya juu tuu tuchukue na ya bei ya chini pia, lakini tunapofananisha pia tuangalie na kipoto cha chini cha kila mwananchi cha nchi husika tunazofananisha nazo.
pia tuanapo angalia pato la hao wananchi tuangalie na fursa zilizopo za kiuchumi kwa hizo nchi na tufananishe na fursa tanzania ilizo nazo.
Hebu fikiria je tz imeongeza asilimia yoyote ktkt siku ya may mosi kenya wameongezewa 12%, na nchi nyingine pia zimeongeza ila Tz lile jambo letu lipo palepale..... hebu rejea kauli ya nilikuwa marekani bei ya petrol hapa tz ni ndogo kuliko marekani, je wa tz wanafanana kipato na wamarekani nikukumbushe.
nikukumbushe pia kauli ya mama kila kitu kitapanda bei, kiongozi wa nchi alipaswa kuangalia ni namna gani na kwa mikakati ipi tutaepuka kupanda kwa bei ya vitu kutokana na vita ya Urusi na ukrein na si vinginevyo
Hizo hapo mkuu!
IMG-20220505-WA0008.jpg
 
Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?

Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?

Hakuna pimbi atafanya hili.
Ila we jamaa ni hatari. Kila mtu akisemacho kuishauri serikali unampinga kuonesha ya serikalini ni perfect yote. Unaona wanaoshauri ni wapotoshaji, ifike mahala ukubaliane na watafta unafuu wa kimaisha. Kodi ya mafuta syo mjenzi rasmi wa barabara. Kuna hela zinapotea kuliko unavyodhani, inafikia hatua kwenye vivuko watu wanapita tu eti mashine ni mbovu.
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Mafuta Zambia ni sh 2,400/ kwa lita na yanapita hapa nchini,waambie wapunguze misululu ya Tozo kwenye mafuta
 
Back
Top Bottom