Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Ni kweli bei imepanda duniani kote,,lakini serikali inafanya nini ili kudhibiti hiyo hali isiathiri sana maisha ya watu? kwa nini wasipunguze kodi na tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei.? nini maana ya Rais kama hawezi kupambana na changamoto zinapojitokeza?
Wasipunguze bali wasubsdize tuu
 
Zambia ni sh. 2400/- Unasemaje hapo?

Kumbuka mafuta yao yanapitia bandari za nchi nyingine sisi tunazo bandari bwerere tulizopewa na Mwenyezi Mungu. Kwa ujuha wetu wa kujitakia zinanufaisha fisadis na uzao wao badala ya Watu wa Mungu walio wengi.
 
Mafuta Zambia ni sh 2,400/ kwa lita na yanapita hapa nchini,waambie wapunguze misululu ya Tozo kwenye mafuta
Hakuna tozo iliyoongezeka bali price ndio imekuwa kubwa tozo ni zile zile hapa wangetoa ruzuku hata ya 1,000 kutusaidia wananchi.
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Nilitaka nishangar Shaka usije kutoa ufafanuzi
 
Tatizo sio sheria bali tatizo ni kwamba kuna ushirika kati ya wasimamia sheria na wanufaika wa haya matukio ya upandaji bei.

Biashara nyingi kubwa kubwa nchini zina mikono ya aidha mawaziri au wabunge au makatibu wakuu au mwandamizi fulani serikalini.
Inafikirisha sana ! Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wao huwa hawana huruma na MTU wao huwa wanajali faida tu tena faida kubwa kadri inavyowezekana !! Sasa hapo ndipo watu wanaangalia wanaohusika nini wanafanya kuidhibiti hii hali ! !!
 
Screenshot_20220505-090252_Twitter.jpg

Jibuni hili kwanza!
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

mkuu samahani mbona inaonekana zanzibar bei iko chini zaidi?
 
Suala la mafuta sio la Muungano. Tanganyika muende mkajifunze Zanzibar wamefanyafanyaje mpaka bei ya mafuta kwao ikawa chini wakati duniani kote iko juu
 
Je sisi ni land locked kama Rwanda na Congo DRC?

Je umeuliza huko Uganda,Kenya na Rwanda kama wanazo tozo za miamala ya Simu?

Wanazo tozo kwenye Mafuta?

Mnajisifu mama amefungua nchi na misaada inamiminika ok.

Sasa Tozo ni za nini?

Ndio maana mmeanza kutukejeli namna hii kwenye hii tweet ya Makamba View attachment 2212007
Apataye hajui mwenzie hao walishapata na familia zao.
 
Ahlan wa Sahlan

Habari zenu wana JF:

Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.

Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.

Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.

Sasa wewe mjuaji wenye magar tunayapaki tuone iyo sgr mtaijengaje. Mbwa wewe
Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?

Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?

Hakuna pimbi atafanya hili.
 
Back
Top Bottom