Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Wacha mafuta yapande bei yafikie sh 5000 kwa lita ili ukimuona mwenye gari uache kumkejeli.
 
Unalinganishaje hali ya hapa kwetu na nchi nyingine? Kwani uchumi wetu uko "at par" na hizo nchi? mafuta yamepanda bei sana wakati hali za watanzania wengi ni ndogo sana. Nimesikia eti mama analinganisha nchi yetu na marekani!!!! Kwani uchumi wa Tanzania ni sawa na wa Marekani? Kima cha chini cha mshahara marekani ni sawa na kwetu!!!! Si sawa hata kidogo. Mafuta yamepanda sana sana. Itabidi wengi wetu tununue IST. I am seriously thinking of buying one!!!
 
Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?

Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?

Hakuna pimbi atafanya hili.
Usitetee sana,hilo linaweza kufanyika ila kwa tahadhari ya kutokuathiri shughuli nyingine za uchumi.Haya ni maoni,nadhani hata wao hawafurahishwi kuona wananchi wao wakiteseka...
 
Zanzubar wao hawako soko la dunia?
Acheni kutufanya wajinga. Watoe tozo kwenye mafuta, period!!!
 
Kigali mafuta yalianza kuuzwa sh 3100 kwa lita toka mwezi April mwaka huu
 
Asa ndo unatuandikia kwa herufi kubwa ili tukuogope au?
 

Imepanda bei sawa vipi kuhusu reseve wanayoisema wanayo ya miezi 7 nayo imepanda bei...
Nchi za landlocked why mafuta rahisi kidogo kuliko sisi?!
 
Huu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?

Lini madawa yalikuwepo?! Pamoja na hizo kodi? Kuna anaetibiwa bure na kupewa hizo dawa za hewa bure?!....
Sasa hivi si kuna matozo kibao mapya huko nyuma hayakuwepo?! Na bd kila siku wanakopa huko bs waondoe hizo tozo mpya maana hazikuwepo na hapakua na tatizo lolote..
 
Ni kweli mafuta yamepanda duniani ila tukisitisha kodi zilizopo kwenye mafuta, bei itakuwa stable, hivi wapinzani kwa nn wasichukue hii kama agenda? Bahati mbaya watanzania pia hatuna logic
 
mlituibia sana kupitia TANROADS nendeni mkazikwe CHATO
 
KSh
UGSh
TzSh
RwFr
Kitaeleweka tu. Ndiyo yale yale 'hata marekani.....wakati wao wanauza lita tatu tatu.

Tutamlaumu tuu, shamba lake kwanini asilaumiwe? The $Buck stops with her
 
Uki

Serikali itajiendeshaje bila ya kukusanya kodi? Yaani unataka apunguze kodi kwenye mafuta halafu wakaongeze kodi kwenye madawa, mbolea,vifaa vya ujenzi,n.k
Wacha kutulisha ujinga wewe na walamba asali wote.
Hakuna mtu humu anayesema kodi ifutwe bali tunauliza kwan nini nchi zingine tena ambazo hazina bandari hazina mambo ya Tozo?

Tozo za kwenye miamala ya simu ni tofauti na kodi inayolipwa na wafanyabiashara.
Halafu wananchi tunailipa kupitia mishahara yetu au kwenye ununuzi wa bidhaa madukani au viwandani.

Kuanzia pembejeo za kilimo hadi madawa hospitalini na bidhaa za mahitaji muhimu za kuendeshea maisha kila siku majumbani.

Bado mama anazunguka ughaibuni kila uchao kukusanya mikopo.

Halafu mnajinganisha na Uganda au Rwanda tena bila aibu.

Hao wanatumia bandari yetu ili kupitisha mafuta yao kufikisha nchini mwao.

Halafu makamba anatukejeli huko tweeter
 
Kenya wametoa ruzuku ya KSH. 1.2 billion kudhibiti mfumuko wa bei
 
Waondoe kwa sababu tayari kila kata Kuna Kituo cha Afya, hospital au? Akili za kisoda..

Madawa yatakuwepo ya kutosha Pesa ipo ya kutosha? Kuzaa hovyo mumeacha?
 
Usitetee sana,hilo linaweza kufanyika ila kwa tahadhari ya kutokuathiri shughuli nyingine za uchumi.Haya ni maoni,nadhani hata wao hawafurahishwi kuona wananchi wao wakiteseka...
Tahadhari ya kutoathiri shughuli nyingine ndio ipi hiyo? Iweke hapa hiyo tahadhari ambayo Serikali haifanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…