Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Wasipunguze bali wasubsdize tuu
 
Zambia ni sh. 2400/- Unasemaje hapo?

Kumbuka mafuta yao yanapitia bandari za nchi nyingine sisi tunazo bandari bwerere tulizopewa na Mwenyezi Mungu. Kwa ujuha wetu wa kujitakia zinanufaisha fisadis na uzao wao badala ya Watu wa Mungu walio wengi.
 
Mafuta Zambia ni sh 2,400/ kwa lita na yanapita hapa nchini,waambie wapunguze misululu ya Tozo kwenye mafuta
Hakuna tozo iliyoongezeka bali price ndio imekuwa kubwa tozo ni zile zile hapa wangetoa ruzuku hata ya 1,000 kutusaidia wananchi.
 
Nilitaka nishangar Shaka usije kutoa ufafanuzi
 
Inafikirisha sana ! Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wao huwa hawana huruma na MTU wao huwa wanajali faida tu tena faida kubwa kadri inavyowezekana !! Sasa hapo ndipo watu wanaangalia wanaohusika nini wanafanya kuidhibiti hii hali ! !!
 
Bei ya Kerosene Tanzania ni kubwa kuliko Nchi yeyote katika Bara la Afrika.
 
Mbona Zanzibar bei iko chini na ni sehemu ya Muungano
 
mkuu samahani mbona inaonekana zanzibar bei iko chini zaidi?
 
Suala la mafuta sio la Muungano. Tanganyika muende mkajifunze Zanzibar wamefanyafanyaje mpaka bei ya mafuta kwao ikawa chini wakati duniani kote iko juu
 
Apataye hajui mwenzie hao walishapata na familia zao.
 
 
Sasa wewe mjuaji wenye magar tunayapaki tuone iyo sgr mtaijengaje. Mbwa wewe
Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?

Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?

Hakuna pimbi atafanya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…