karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Pamoja na hizo kodi bado dawa hakunaHuu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hizo kodi bado dawa hakunaHuu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?
Wewe ni zaidi ya fala,lazima ununue na bei unazonunua ziko subsidized ndio maana dawa za hospital ni Bei nafuu kuliko za maduka binafsi,tumbili wewe.
Unataka bure,zalisha dawa zako na tafuta daktari wako.
Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Unanichosha, siwezi endelea kujibu ujingaPyiii zipo hizo dawa zaidi ya panadol zingine zote unaandikiwa ukanunue pharmcy za nje huko [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] dawa zipi zipo ambazo unanunua peleka ujinga wako huko
Pesa hazitoshi dawa haziwezi kutishelezaPamoja na hizo kodi bado dawa hakuna
Acheni uhuni ,saizi mafuta yanafika bandarini kwa sh.1962 hadi 2060 kutegemea na kama ni diesel au petrolTatizo linaanzia hapo kwenye mlolongo wa tozo.View attachment 2212604
Uki
Serikali itajiendeshaje bila ya kukusanya kodi? Yaani unataka apunguze kodi kwenye mafuta halafu wakaongeze kodi kwenye madawa, mbolea,vifaa vya ujenzi,n.k
Ukiwa mbunifu unaweza endesha nchi bila kodi piaKumbuka Kodi ndiyo chanzo Cha mapato ya serikali,walilipa msiseme mtauzwa..wanakopa sana
Hamia Kigali sasa ukafurahi vizuri kupanda bei ya mafuta.Kigali mafuta yalianza kuuzwa sh 3100 kwa lita toka mwezi April mwaka huu
Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?
Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?
Hakuna pimbi atafanya hili.
Angalia serikali ya Kenya inavyodhibiti bei za mafuta ya petroli/dizeli/.. kwa kutoa ruzuku (subsidy)..Nitajie nchi ambayo haitozi kodi katika bidhaa za mafuta.Nchi itajiendeshaje kama haikusanyi kodi? Mnataka kuja tena kumlaumu kuwa hospitalini hakuna madawa, wafanyakazi kutolipwa mishahara kwa wakati n.k
UONGO..nchi zote za afrika ya mashariki bei ya mafuta ya petroli na dizeli ni kuanzia sh 3000 kwa lita na kuendelea.
Acheni kumtetea mtu hasiyehitaji utetezi wenuAhlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Jamaa umekomaa balaaa, kwani maana ya uongozi ni nini. Kama huwezi kuwalinda Wananchi wako unatafuta nini kwenye uongozi.Huu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?
umeonae, thanks. alitakiwa kuwa mkali kwa wafanyabiashara watakao pandisha bidhaa bei bila utaraibu tena angeonya kwa sauti kali na yenye mamlaka kwa kusema .Exactly , mama ni mfariji mkuu wa wananchi, awe muamgalifu katika kutoa kauli zake maana zinachochea ongezeko la bei za vitu.
Umesahau na mafuta ya kula pia yamepanda ongezea katika Uzi wakoAhlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
thanks zimfikie pia na mtoa mada. na ajiulize iweje mafuta yanayopitia bandari ya Dar yakauzwe bei ndogo kuliko tz bara pia ajiulize zanzibar inalipa ushuru, japo naweza msaidia kwamba zanzibar inalipa ushuru inapopitisha mafuta bandari ya Dar.Hizo hapo mkuu!View attachment 2212373