inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wapi wanaendesha nchi bila kodi!?Ukiwa mbunifu unaweza endesha nchi bila kodi pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi wanaendesha nchi bila kodi!?Ukiwa mbunifu unaweza endesha nchi bila kodi pia
Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Halaumiwi kama unavyosema...Anaupiga mwingi. Umemwagika. Kwanini tuseme wakati anaupiga mwingi, unapomwagika tukae kimya?Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
![]()
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Nishati ni moja ya visababishi vya inflation kwenye bidhaa hapa panahitaji umakini sio matusi vinginevyo panaweza pakaleta shida.Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?
Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?
Hakuna pimbi atafanya hili.
Teh teh,ni awamu ipi tangu tupate uhuru watanzania wamekuwa wakilaWatanganyika tusipokua makini tutafanywa mafukara na awamu hii.
Mama anawashauri wake ambao nahisi hawamshauri vizuri, hii mbona ni rahisi tu, kwa kipindi hiki Serikali ikubali isichukue tozo yoyote kwenye mafuta, mbona tozo zipo nyingi ambazo huingizia mapato Serikali?Zitto Kabwe ametowa ushauri mzuri na unatekelezeka kama kuna utashi.
Serikali ibebe huu msalaba kwa kuondowa sh 500 za tozo kwa kila litter ili wananchi wapumuwe.
Acha kuwa mpuuzi Zanzibar hapo tu petrol ni 2600 wao wako na visima??.Usihangaike nao hao fala achana nao ,mbona wasilete mafuta yao wayauze bei ya Chini?
Eti wanataka Serikali ifute Kodi kwenye mafuta Ili ijiendeshaje? Ili isijenge barabara?
Hakuna pimbi atafanya hili.
Utakuwa tegemezi wewe asee!Hata mimi ningekuwa serikali siwezi toa Kodi Ili Nchi ikwame kwa kisingizio cha mafuta kupanda and such upuuzi..
Utoe 500 kwenye mafuta unajua utapoteza mapato kiasi gani?
Kalete mafuta yako uuze bei ya 2600Acha kuwa mpuuzi Zanzibar hapo tu petrol ni 2600 wao wako na visima??.
Kazi ya serikali sio kumnyonya raia Bali ni kumrahisishia vitu viwe himilivu!!. Huwa mnakunywa pombe gani za hovyoo hizi?.
Samia ndio aliziweka hizo Kodi?Mafuta yamepanda sababu ya wingi wa kodi. Apunguze utitiri wa kodi kwenye mafuta
Anaweza kuzipeleka baadhi ya kodi likizo ili bei iwe chini hadi vita itakapoisha.
Ili na miradi iende likizo kusudi wewe ununue mafuta bei ya chini sio?Anaweza kuzipeleka baadhi ya kodi likizo ili bei iwe chini hadi vita itakapoisha.
KabisaUtakuwa tegemezi wewe asee!
Dhibiti ufisadi na upigaji kwa hatua kali za mfano fisadi akamsimulie mama yake,bila kudhibiti ufisadi kukusanya kodi kutakuwa bure.Ili na miradi iende likizo kusudi wewe ununue mafuta bei ya chini sio?
Unajua Kodi za kwenye mafuta zinafanya Kazi gani?
Ufisadi upo ila haifiki hata 10% ya makusanyo which is insignificant ..Dhibiti ufisadi na upigaji kwa hatua kali za mfano fisadi akamsimulie mama yake,bila kudhibiti ufisadi kukusanya kodi kutakuwa bure.
Kodi inapokuwa chini uchochea ukuaji wa uchumi kwa maana utakusanya zaidi.
Soda ikiwa bei chini watu wataigeuza maji watamudu wengi kununua utapata kodi zaidi.Kadri bei inavyokuwa juu zaidi ndivyo wanunuzi upungua na makusanyo ya kodi upungua pia.