Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

Kuna ufala na uzuzu, ujinga na umbanga; bila kuelewa zama bora kukaa kimya.
 

Kasikilize wataalamu wa sheria wakielezea kwanini huu mkataba ulihitaji ratification ya bunge. Huu mkataba unagusa utungaji na ubadilishaji wa sheria za nchi. Ni kanuni za kisheria na isingewezekana bila kupita bungeni.
 
Kati ya miradi yote hapo juu kuna Kampuni iliyopewa hati miliki ya mradi husika bila kimono?! Au wanajenga tuu structure lenu na kuondoka?! Unalingalisha scenario mbili tofauti kabisa.
Tumia akili unapoleta thread humu.
 
Hiyo ni bandari na ni mpaka wa nchi hiyo yote uliyo taja ni miradi na haipo kwenye katiba
 
ni kweli mama angeweza kuusaini kimya kimya lakini yeye binafsi hakubaliani nao, hivyo akaona isiwe shida kwake, fanya tu kuuweka mkataba wazi kwa umma ili kuepuka yeye mama kuhusika moja kwa moja kukubali jambo asiloafikiana nalo...

najaribu kuwaza kwa sauti labda kuna kundi maalum lenye kunufaika moja kwa moja kwa bandari kubinafsishwa ila kwa kujua udhaifu wa mkataba huo, wamemtanguliza mama kama chambo. Pindi lawama zitakapoibuka mbeleni yeye mama ndiye abebeshwe zigo hilo.

Hata hivyo, umma kupinga jambo hilo ni dalili njema za uelewa kwa watanzania.
 
Hili swala tungekuwa objective kwa pamoja tungeweza kufikia pazuri na naamini kabisa wananchi tukiungana vizuri hawa dp na chawa wao hawatoboi, walioharibu mjadala huu walioanza kutukana dini za watu na makabila, let us be objective kwa ajili ya kulinda kizazi chetu , huu mkataba to be fair haufai maana tunawadhulumu watoto na wajukuu zetu, watatulaani na kuwatukana wote waliohusika kwenye ujinga huu
 

Kua ingekua siri milele?
 
Kuna ukweli ndani yake lkn kwa ukweli nikua hata kwa jpm watu walikua wanalalamika,walipokua wanaona Mambo hayaendi sawa. Sema tu jpm alikua mbabe asiekua na akili
 
Aisee kwahio Transparency / Kuvujishwa kwa Mkataba (so called makubaliano) na kusainiwa hayo makubaliano unaona kwako umepewa msaada ?

No Wonder safari bado ni ndefu

Kwamba wanamuandama kazi yake ni ipi kusifiwa na kuambiwa anaupiga Mwingi ?!!!
 
Acha kudanganya watu,

Mkataba ulivuja,

Ingekuwa uliletwa Kwa Nia njema, usingepelekwa haraka haraka,

Yaani siku mbili zitoshe vp kukusanya maoni ya wananchi?

Pia acha dharau, Rais wa Nchi Si mamaetu, ni Amiri Jeshi mkuu, Mwajiriwa namba moja wa wananchi, hivyo hatujadili mambo ya kifamilia, tunajadili suala la Bandari lenye Maslahi mapana ya nchi yetu.
 
Tofautisha miradi ambayo haijawai kuanzishwa Chief

Unatunchanganyia habari

Bandari ina management yake na inafanya kazi very tuu na
 
Mawazo ya kijinga sana kwahivyo tukubali kwakuwa ametuambia? Tuseme namtaka mkeo nikimvizia kimya ntapiga Sasa nkikuletea mkataba niwe namkula utakubali kwakuwa wapo walomla bila kukushirikisha??
 
Huku raia wanauliza eti sasa kwani ametushirikisha ili iweje sasa?
 
Mkataba ulivuja
 
Jiwe hakuwahi kusaini mikataba yoyote ya kukabidhi mali kwa mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…