Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Kuna ufala na uzuzu, ujinga na umbanga; bila kuelewa zama bora kukaa kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana. !Sasa kama tupo tupo hakuna marndeo yoyote si Bora tuuze nchi tu. Ni sawa na mtu ana ng'ombe mia lakini anakufa njaa eti hataki kuchinja ng'ombe wake.
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Kati ya miradi yote hapo juu kuna Kampuni iliyopewa hati miliki ya mradi husika bila kimono?! Au wanajenga tuu structure lenu na kuondoka?! Unalingalisha scenario mbili tofauti kabisa.Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hiyo ni bandari na ni mpaka wa nchi hiyo yote uliyo taja ni miradi na haipo kwenye katibaHivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
ni kweli mama angeweza kuusaini kimya kimya lakini yeye binafsi hakubaliani nao, hivyo akaona isiwe shida kwake, fanya tu kuuweka mkataba wazi kwa umma ili kuepuka yeye mama kuhusika moja kwa moja kukubali jambo asiloafikiana nalo...Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Hili swala tungekuwa objective kwa pamoja tungeweza kufikia pazuri na naamini kabisa wananchi tukiungana vizuri hawa dp na chawa wao hawatoboi, walioharibu mjadala huu walioanza kutukana dini za watu na makabila, let us be objective kwa ajili ya kulinda kizazi chetu , huu mkataba to be fair haufai maana tunawadhulumu watoto na wajukuu zetu, watatulaani na kuwatukana wote waliohusika kwenye ujinga huuHivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Unaona akili yako sasa....unamuongelea marehemu?Kwa jpm mngefanya hivi. Mngekuwa mpaka Sasa hivi mkonkwenye viroba
Ooh. Sorry.Naona umeni-quote kimakosa
Acha kudanganya watu,Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Tofautisha miradi ambayo haijawai kuanzishwa ChiefHivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Mawazo ya kijinga sana kwahivyo tukubali kwakuwa ametuambia? Tuseme namtaka mkeo nikimvizia kimya ntapiga Sasa nkikuletea mkataba niwe namkula utakubali kwakuwa wapo walomla bila kukushirikisha??Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Mkataba ulivujaHivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.