Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

Tundu Lissu kashindwa kesi yake mweyewe! Hafai kuishauri serikali. Na umaarufu hana tena, just pathetic and useless.
 
Sijui nikusaidie vipi. Mfano vyandarua vinavyogawiwa bure hospitali ni msaada hatutalipa, barabara kati ya Tunduma na Sumbawanga iliyojengwa kwa msaada wa Marekani hatutalipa. Lakini ujenzi wa reli ni mkopo tutalipa, ujenzi wa barabara za juu na daraja la Sarenda ni mkopo tutalipa.

Kuhusu utegemezi wa kibajeti bado tunategemea mikopo na misaada kwa zaidi ya 35% na siyo 20% kama unavyosema!
 
Hiyo 20% siyo leo ni enzi za mkapa, na nilikuwa natafuta eneo misaada inakokwenda kilasiku tunaambiwa kila kitu ni pesa za makusanyo ya ndani, ndio nikataka kujua ni lini tunakopa na zinaenda wapi hizo za mikopo?!
 
Mkuu umemaliza... wenye masikio na wasikie... wanatumia uvivu wa kusoma na kufikiri kwa watanzania ili kupotosha ukweli.
Kawaida ya majuha hudhani wote wanaowachekea ni majuha wenzao pasi kujua unaochekwa ni ujuha wao.
 
The key thing is
, u should stop mis informing people to believe untruth to be true.
Now you're talking... can you highlight that untruth thing from my thread?!
 
Mkuu umemaliza... wenye masikio na wasikie... wanatumia uvivu wa kusoma na kufikiri kwa watanzania ili kupotosha ukweli.
Kawaida ya majuha hudhani wote wanaowachekea ni majuha wenzao pasi kujua unaochekwa ni ujuha wao.
Na hilo la uvivu wa kusoma ndo tatizo kweli kweli! Hata hapa, ni rahisi sana kugundua nani ame-comment kabla ya kusoma! Yaani watu thread ikizidi maneno 300 tu, hawawezi kusoma lakini cha ajabu utakuta wana-comment! Yaani mtu ana-comment kwa kusoma heading badala ya content!
 
Hiyo 20% siyo leo ni enzi za mkapa, na nilikuwa natafuta eneo misaada inakokwenda kilasiku tunaambiwa kila kitu ni pesa za makusanyo ya ndani, ndio nikataka kujua ni lini tunakopa na zinaenda wapi hizo za mikopo?!
Na ninataka kufuatilia nikipata hiyo nafasi manake I doubt kama hata huo wakati wa Mkapa tulikuwa tunaweza ku-finance budget yetu kwa hiyo 80%! Nakumbuka moja ya mambo ambayo Mzee wa Msoga alikuwa akijitapa ni kupunguza pengo la utegemezi wa bajeti! Na kwa kumbukumbu zangu, hadi Mkapa anatoka madarakani, at least 40% ya bajeti yetu ilikuwa donor funded, but don't quote me... I'll confirm it next time!
 
Noted....
 
Mkeka umechanika mkuu, Hakuna MIGA wala MEGA sasa ipo kampuni inaitwa TWIGA na 16% ya share na 50 by 50 iko njiani.

Endeleeni kumuuguza mgonjwa wenu aliyetoroka hospitali.
 
Mkuu Chige,kwa hili naomba nikiri hata mimi sikuwa nimeelewa.
Mungu akubariki kwa kutuelewesha.
 
Mh. Magufuli,kama unapitia huu uzi,tafadhali mteue huyu mleta uzi awe "mshauri huru" wako mkuu.
 
Mkeka ukichanika umechanika...hela ya mhindi hua hairudi.
Mnajaribu kuokoa jahazi ila ukweli Tundu Lissu alikua na chuki iliyopitiliza kiasi kwamba alitamani nchi inyimwe misaada.
Uteuzi hautafutwi kwa kujitoa ufahamu namuna hiyo japo mteuaji ni Kichaa lakini Hapa atashituka maana atagundua wewe ni Kichaa zaidi yake.
 
True... ila kwenye makanikia alikuwa anawatetea wazungu na alimudu sana.
Nasikia katika makubaliano yao-makinikia yataruhusiwa kusafirishwa na hiyo smelter siyo issue tena. Hii ina maanisha tumerudi pale pale.
 
Huo ndio ukweli. Pia wakati mwingine wanasubiri kibajaji na chakubanga ndio wawaambie wajibu nini!!!
 
Mkeka umechanika mkuu, Hakuna MIGA wala MEGA sasa ipo kampuni inaitwa TWIGA na 16% ya share na 50 by 50 iko njiani.

Endeleeni kumuuguza mgonjwa wenu aliyetoroka hospitali.
The problem hata ukiulizwa how does 16% as well as hiyo 50/50 work, hujui...so, it kind of sucks ku-argue na mtu wa aina yako!! Kwangu ni kawaida tu kujadili hata na wale known Lumumba Kindakindaki kama watakuwa na hoja, na sio watu aina yako mnaotumia staili za akina Mwajuma Ndala Ndefu!
 
Suala la msingi siyo kutoa muda, suala la msingi ni kila mtanzania mwenye uelewa kuleta hoja mezani ili kwanza watanzania wengi zaidi waelewe na kushiriki kwa upana zaidi kutoa michango yao. Pili wale wanaoshiriki katika maamuzi waweze kujielimisha zaidi na zaidi ili waweze kutoa maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. tumejifunza nini kwa kukamata yale makinikia? mapaka hivi sasa serikali ni kama inachezeshwa unyago na Barrick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…