ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

Mzee pasco! Unatuchanganya

 

Unajuaje Nchimbi yupo na hajauawa kama hajatolewa hadharani?

Kama Nchimbi anataka kukaa kimya kwani anashindwa kutoka mara moja akasema nipo salama nataka kukaa kimya?

Unaelewa kuwa anayelazimishwa kumuonesha Nchimbi ni serikaki hapa?

Unafahamu wajibu wa serikaki chini ya Habeas Corpus, hususan kwa sababu Nchimbi kama Makamu wa Rais Mstaafu ana ulinzi wa serikali?

Unaelewa kuwa sasa hivi kabla Nchimbi hajaonekana kuna uwezekano kuwa kashauawa na ndiyo maana haonekani?
 
What is the way forward for this case Wakili?
 

wanaosema nchimbi kashikiliwa wanaushahidi au wanahisi kwa kua hawajamuona?` na ni kina nani hao wanaosema hawajamuona, na hawajamuona wapi? suala la nchimbi kua kauwawa au lah ni jambo lingine
 
UNA POINT USIKILIZWE.
 
wanaosema nchimbi kashikiliwa wanaushahidi au wanahisi kwa kua hawajamuona?` na ni kina nani hao wanaosema hawajamuona, na hawajamuona wapi? suala la nchimbi kua kauwawa au lah ni jambo lingine
Nchimbi hajaonekana hadharani kwa wiki nyingi, jambo ambalo si kawaida, kufuatia kujiuzulu kwake cheo ambacho serikali inadai kapigiwa kura kwa takriban 98%.

Katika mazingira tatanishi, tunaambiwa kajiuzulu bila kusikia kauli yake, kwenye nchi ambayo imegubikwa na wimbi la utekaji, uuaji na upoteaji wa watu.

Kama yupo, ana wajibu wa kujielezea kwa hao wapiga kura takriban 98%, na umma kwa ujumla, kwamba yupo hai na salama, na amejiuzuku kweli.

Mamlaka zinawajibika kutuonesha yupo.

Vinginevyo, tunaweza kusema Nchimbi kajiuzulu, kumbe hakujiuzuku kauawa.

Kwa sababu hata suala la kujiuzulu tumeona barua tu, hatujamsikia mwenyewe.

Ndiyo maana sheria inatoa nafasi ya watu kuanzisha kesi ya Habeas Coepus Nchimbi aletwe hadharani watu wamuone yu hai.

Huelewi wapi?
 
ndugu zao kina nchimbi wanasemaje?
 
Upuuzi huu jamani hadi naona aibu Wapinzani mnakwama wapi ?

Ni kwamba mnafurahia baadhi ya mambo yakitokea ili mpate agenda

Nchimbi amekuaje mtu wenu gafla mpka mmekua na uchungu mkali kiasi hiki?

Siasa za Tanzania sometimes ni takataka 🚮
Upinzan kazi yao kudai haki hata kama ni ya mwanaccm au ya mwingine

Hata Samia akizulumiwa watamtetea pasipo kuweka visasi mbele
 
sijasema ni jukumu lao peke yao, nachosema mimi binafsi nawaona wazushi kwa wao kukalia kimya jambo lile hali ya kua hatari iliyopo ilikua ni dhahiri --- sina maana nataka kuwatetea waliorusha risasi, hii changamoto ni collective
Kama huwezi kuwalaumu walio rusha risasi huja haja ya kulaumu chadema

Kwani maandamano ni jinai
Mpaka useme chadema walipaswa kukemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…