Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Duh...οΌhata weweοΌοΌUnajuaje Nchimbi yupo na hajauawa kama hajatolewa hadharani?
Kama Nchimbi anataka kukaa kimya kwani anashindwa kutoka mara moja akasema nipo salama nataka kukaa kimya?
Unaelewa kuwa anayelazimishwa kumuonesha Nchimbi ni serikaki hapa?
Unafahamu wajibu wa serikaki chini ya Habeas Corpus, hususan kwa sababu Nchimbi kama Makamu wa Rais Mstaafu ana ulinzi wa serikali?
Unaelewa kuwa sasa hivi kabla Nchimbi hajaonekana kuna uwezekano kuwa kashauawa na ndiyo maana haonekani?
Namaanisha haswa ni ta kutag pia kwenye uzi wa siasa za utakatifuhapa nakuunga mkono , na kama kweli unamaanisha basi tumeshafika muafaka.
Basi hayo hayana maana tena kwa sasa yalishatokea lakini trust mekutokuilamu ccm haimaanishi ccm haina makosa miaka yote hii ccm inafanya makosa, nachosema mimi kwenye janga lile hivyo vyama viwili vikubwa wote wameonesha incompetence , mkombozi anayetegemewa na wengi cdm imeonesha udhaifu mkubwa sana.
Tayarimimi nipo karibu kila siku mkuu
Mzee wa kura moja kwenye moja na mbili.Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.
Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !
Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba
Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P.
Mababu wewe ni mgeni wa hii nchi au unaendeshwa na nguvu ya Buku Saba?wanaosema nchimbi kashikiliwa wanaushahidi au wanahisi kwa kua hawajamuona?` na ni kina nani hao wanaosema hawajamuona, na hawajamuona wapi? suala la nchimbi kua kauwawa au lah ni jambo lingine
ntajibu kesho mkuuMababu wewe ni mgeni wa hii nchi au unaendeshwa na nguvu ya Buku Saba?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara...
- Missile of the Nation
- kassim majaliwa magufuli anachapa kazi magufuli mzima chato rais magufuli rais magufuli haumwi rais magufuli mzima tetesi magufuli kuumwa
- Replies: 1,459
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kwa nini unafikiri wana uhuru wa kusema wanalotaka katika utawala huu?ndugu zao kina nchimbi wanasemaje?
Hata mimi nini?Duh...οΌhata weweοΌοΌ
P
Nimeelezwa na zile sauti zangu kuwa yupo nyumbani kwakeοΌameamua kutulia tuu na familia yakeUna hakika nyumbani jwake oanaingilika na yupo?
Atakuwepo tuu home kwakeοΌno one complained haonekaniοΌUna hakika anapatikana nyumbani kwake?
Wangeenda wakamkosa si wangesemaοΌοΌno one complained kuwa amemkosaοΌUnajuaje watu hawajaenda nyumbani kwake?
Anao ulinzi wake muda woteHuyu kama Makamu wa Rais Mstaafu anayetakiwa kupewa ulinzi wa serikali muda wote,
hawaweziοΌili kufungua kesi ya Habeas CorpusοΌlazima kwanza uthibitishe he is arrestedοΌwananchi hawawezi kuanzisha kesi ya Habeas Corpus kudai awasilishwe hadharani wamuone
Hii ni kazi ya mhimili wa 4wamuhoji kwa nini kajiuzulu, wahakiki kama kweli kajiuzulu na barua anayodaiwa kuandika kaiandika yeye kweli?
Ukishaanza habari za sauti zako zisizothibitishika mimi naona ni sawa na kichaa tu.Nimeelezwa na zile sauti zangu kuwa yupo nyumbani kwakeοΌameamua kutulia tuu na familia yake
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza!
Atakuwepo tuu home kwakeοΌno one complained haonekaniοΌ
Wangeenda wakamkosa si wangesemaοΌοΌno one complained kuwa amemkosaοΌ
Anao ulinzi wake muda wote
hawaweziοΌili kufungua kesi ya Habeas CorpusοΌlazima kwanza uthibitishe he is arrestedοΌ
Hii ni kazi ya mhimili wa 4
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
P
Kama August 2014 niliambiwa hivi Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" ... na ikiwaUkishaanza habari za sauti zako zisizothibitishika mimi naona ni sawa na kichaa tu.
Its true, ila kuna vichaa wengine ni kama saa mbovu, yaani hata saa mbovu, huwa inasema kweli twice a day, daily!.Kwa sababu hata vichaa nao wanasikia sauti zao.
Frankly, you are boring me.Kama August 2014 niliambiwa hivi Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" ... na ikiwa
Kisha October 2014 nikaambiwa hivi Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa ... na ikawa
Machi 12, 2016 nikaambiwa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa ... ikawa
Dec 19, 2019 nikaambiwa Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye ... ikawa
Hivyo baada ya kuelezwa Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu ... I dont have any reasons to doubt, until proven otherwise
Its true, ila kuna vichaa wengine ni kama saa mbovu, yaani hata saa mbovu, huwa inasema kweli twice a day, daily!.
P
Nje ya mada yako, pole kwa kufiwa na dada mdogo wako, tunawajuwa vizuri tu, rip dada Lucy. πDuh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na wakawa hawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na hoja ya kumuulizia mtu kisiasa tuuοΌmajukwaaniοΌlakiniοΌhawawezi kumuulizia kisheriaοΌkwasababu ACT hawana kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia Nchimbi kisheria kwa kutumiaοΌHabeas Corpus
kwasababu hakuna ushahidi wowote kuwa Nchimbi anashikiliwa na dola kinyume cha sheriaοΌ
Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !
Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni media za kizuzuοΌ
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
Mwisho hata mihimili yetu hii mitatuοΌni mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba ya JMT kinyume na katibaοΌ
Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P.
Duh...!, kumbe tunafahamiana!, Asante sana!, ni msiba mkubwa mzito wenye majonzi pale wazazi ambao ni watu wazima, wanapomzika mtoto!Nje ya mada yako, pole kwa kufiwa na dada mdogo wako, tunawajuwa vizuri tu, rip dada Lucy. π
Mahakama hizi zinazofuata maelekezo ya Rostam na Saa100?View attachment 3669698
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
KAma ni hivyo basi ni ishara nzuri ya kwamba yupo haiKwa nini unafikiri wana uhuru wa kusema wanalotaka katika utawala huu?
Nchi ya kisasa ya kidemokrasia haiongozwi kwa ishara, inaongozwa kwa facts.KAma ni hivyo basi ni ishara nzuri ya kwamba yupo hai
Sawa mkuu, kwa kua ado shaibu wa act kashatoa siku 7 acha tuone hali itaendaje,Nchi ya kisasa ya kidemokrasia haiongozwi kwa ishara, inaongozwa kwa facts.
Wewe unaweza kuona hiyo ni ishara kuwa yupo hai, mtu mwingine akaona hiyo ni ishara kashamalizwa.
In any case, anatakiwa kuonekana amalize mzozo, kama yupo.
Na asipoonekana, itakuwa sawa kufikiri kuwa ametekwa au kauawa.
Nimesoma na moja ya mdogo wako. D, aliyeko N Z. Wewe ulikuwa mbele shule ya msingi O bay.Duh...!, kumbe tunafahamiana!, Asante sana!, ni msiba mkubwa mzito wenye majonzi pale wazazi ambao ni watu wazima, wanapomzika mtoto!
Lucy ni mdogo wetu wa mwisho, na the only dada kwenye familia, tumebaki ma kaka watupu!, kwa jinsi sisi makaka tulivyo busy na life, ni Lucy alikuwa anatutembelea majumbani na kutukutanisha kwa wazazi from time to time, alikuwa mcheshi na mchangamfu.
RIP mdogo wetu Lucy π
P