Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Wahenga walisema lolote linawezekana chini ya jua. Kama ni hivyo natafakari na kujiuliza itatokea nini mara ghafla Tundu Lissu akiwa jukwaani akabadili gia angani na kusema "John Joseph Pombe Magufuli anatosha" na baada ya tamko hilo akamuunga mkono JPM.

Je, Msajili wa Vyama vya Siasa atafoka?

Nauliza tu maana lolote lawezekana chini ya jua!
 

Nchi hi inatawaliwa na majuha ya CCM na Jiwe wao. Anzia kule NEC, njoo kwa MSAJILI WA VYAMA, njoo TAKUKURU Ni uoza na uvundo mtupu.

Nataka Msajili atuambie NDOA ILIYOKO KATI YA CCM&TLP ilifungwa lini na kwa sheria ipi ya Coalition.
Watz tunajua MREMA ni TLP lakini ni Mwenyekiti ya Parole Tanzania kwa kuteuliwa na Rais Magufuli(CCM)! Kama hakuna USHIRIKIANO huo basi Magufuli atengue uteuzi wa Mrema kuanzia leo na CCM. wachukuliwe hatua.

Ushauri kwa Msajili: Maoni ya chama kimoja kuhusu Chama kingine juu ya kushinda Urais, Ubunge au Udiwani haiwezi kuwa ni ushirikiano wa moja kwa moja.
Kwenye kupiga kura Kuna mtu wa TLP atapiga kura ya Mbunge kwa Mrema lakini ya Urais atapiga kwa Magufuli! Kosa liko wapi hapo?
Likewise MWANACHAMA wa ACT Wazalendo atapiga kura ya Ubunge kwa mgombea wa ACT lakini ya Rais atampigia Tundu Lissu....kosa liko wapi??
Naomba Msajili, NEC na CCM msitake kuwavuruga Watz. Acheni watu wapige kura kwa Utashi wao....msilaximishe ushindi kwa CCM!
 
wewe fala umetiwa nini? kakojoe ukalale.
 
Wewe na Jaji nani anaijua zaidi sheria hiyo?
Huyo jaji Mitungi?! Usikariri mkuu, sio kila mzungu ni Padre.

Angekuwa anaijua sheria wala asinge jihangaisha kuandika huo upupu kwenda ACT, kwa maana kifungu anacho nukuu hata hakihusiani na tuhuma anazo waelekezea.
 
😁😁,huyo msajili ni mwendawazimu!Anatumika kwa maslahi binafsi badala ya kutumikia umma!
Shwain kabisa!
 
Tunaomba Msajili wa Vyama vya Siasa aje atuambie hiyo sheria anayoitetea ya vyama kutoshirikiana inamhusu Nani,Lini na wapi.
Rais Magufuli Kama Mwenyekiti wa CCM na Mkuu wa nchi amewahi kuteua Viongozi wengi kwa kuwapa vyeo toka Upinzani. Je, Hilo ni kosa? Kama ni kosa kulingana na sheria ya Msajili basi tunaomba awaandikie CCM na Mwenyekiti wao Magufuli atengue teuzi hizi:

1. Augustine Lyatonga Mrema(TLP)...Mwenyekiti Parole.
2. Dr. W.P. Slaa(CHADEMA)....Balozi Sweden.
3. Anna Mghwira(ACT Wazalendo)....RC/Kilimanjaro.
4. Kitila Mkumbo(ACT Wazalendo)...KM- Wizara ya Maji.

Hawa wote ni Wanachama wa vyama vingine lakini wamepewa teuzi na Serikali ya CCM.

Maana yake hakuna kosa lolote kwa Chama kimoja kuona Mwanachama wa Chama kingine anafaa kwene nafasi fulani iwe Ni ya Urais, Ubunge, Udiwani, Ubalozi, Ukatibu Mkuu, Ukuu Mkoa& Wilaya.

Kwa hiyo ACT Wazalendo wanaposema watapiga kura ya Urais wa JMT kwa Tundu Lissu au TLP wanaposema watapiga kura ya Urais kwa Magufuli hakuna kosa lolote.

Kila Chama kinaangalia upepo na nguvu ya Mgombea wa Chama fulani anavyokubalika.

Huwezi kuwazuia Wanachama wa Chama A kumpigia kura mgombea wa Chama B kwa kisingizio Cha sheria MFU inayoxuia Chama A&B kupigiana kura kwa hofu tu ya kuilinda CCM!!
 
Huyo msajili ni kapi tu linalotumika kwa maslahi ya CCM!
Its a Shame kuwa msajili ni Jaji mstaafu!Mazee mengine yangepumzishwa tu huko yakalishe ng'ombe!
 
Huyo msajili ni kapi tu linalotumika kwa maslahi ya CCM!
Shame!

Inasikitisha kuona CCM na Magufuli wameweka sheria za kihuni ili kujihakikishia ushindi fake wa goli la mkono.
Safari hii CCM, NEC,MSAJILI na Magufuli wao wakifanya mchezo Mama Bensouda wa ICC wanawasubiri kwa hamu. All eyes on Tanzania for the GE~2020.
 
U-CCM unawaharibu sana wataalamu wetu. Maana ukisikia hoja na kauli zao utabaki tu kushangaa huyu alienda shule kusomea ujinga?!
 
Ccm waoga sana wamepiga siasa miaka 5 wenzao walikuwa kimya wanashinda mahakamani miezi miwili wapinzani wameamsha ccm wanajiharishia hovyo
 
Ushirikiano wa vyama unawezekana wakati wote kwani mgombea akifa wanafanya nini? Si anateuliwa mwingine uchaguzi unaendelea?
 
Ushirikiano wa vyama unawezekana wakati wote kwani mgombea akifa wanafanya nini? Si anateuliwa mwingine uchaguzi unaendelea?

Huyu Msajili anatumiwa na CCM kama karatasi ya chooni tu. Otherwise Hana hoja!
 
Uharamu wake ni upo sasa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…