Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu kingereza basi Mimi nimeandika kingereza
Mwenyekiti wa ACT bado ni mwananchi wa kawaida ana haki ya kuwa na maoni binafsi ya kisiasa.
Sasa Mkurugenzi awaachie ACT wenyewe waamue kama Mwenyekiti wao amekikosea chama au la, Lakini siyo kazi ya msajili kuzuia mwananchi kutoa maoni ya kisiasa.
Hivi ni lini Mrema amewahi kuandika barua kwa msajili kumjulisha kuwa TLP itaiunga mkono CCM kwenye uchaguzi huu?
Na ni lini na kwenye kikao gani kumewahi kuwepo kukubaliana kuhusu coalition kati ya TLP na CCM kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa?
Mbona Mrema na chama chake wanamuunga mkono Magufuli na Msajili hajawahi kuiandikia barua TLP kuhusu hilo?
wewe fala umetiwa nini? kakojoe ukalale.Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!
Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini
Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?
Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi
Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!
Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Huyo jaji Mitungi?! Usikariri mkuu, sio kila mzungu ni Padre.Wewe na Jaji nani anaijua zaidi sheria hiyo?
Huyo msajili ni kapi tu linalotumika kwa maslahi ya CCM!
Shame!
Ushirikiano wa vyama unawezekana wakati wote kwani mgombea akifa wanafanya nini? Si anateuliwa mwingine uchaguzi unaendelea?Tunaomba Msajili wa Vyama vya Siasa aje atuambie hiyo sheria anayoitetea ya vyama kutoshirikiana inamhusu Nani,Lini na wapi.
Rais Magufuli Kama Mwenyekiti wa CCM na Mkuu wa nchi amewahi kuteua Viongozi wengi kwa kuwapa vyeo toka Upinzani. Je, Hilo ni kosa? Kama ni kosa kulingana na sheria ya Msajili basi tunaomba awaandikie CCM na Mwenyekiti wao Magufuli atengue teuzi hizi:
1. Augustine Lyatonga Mrema(TLP)...Mwenyekiti Parole.
2. Dr. W.P. Slaa(CHADEMA)....Balozi Sweden.
3. Anna Mghwira(ACT Wazalendo)....RC/Kilimanjaro.
4. Kitila Mkumbo(ACT Wazalendo)...KM- Wizara ya Maji.
Hawa wote ni Wanachama wa vyama vingine lakini wamepewa teuzi na Serikali ya CCM.
Maana yake hakuna kosa lolote kwa Chama kimoja kuona Mwanachama wa Chama kingine anafaa kwene nafasi fulani iwe Ni ya Urais, Ubunge, Udiwani, Ubalozi, Ukatibu Mkuu, Ukuu Mkoa& Wilaya.
Kwa hiyo ACT Wazalendo wanaposema watapiga kura ya Urais wa JMT kwa Tundu Lissu au TLP wanaposema watapiga kura ya Urais kwa Magufuli hakuna kosa lolote.
Kila Chama kinaangalia upepo na nguvu ya Mgombea wa Chama fulani anavyokubalika.
Huwezi kuwazuia Wanachama wa Chama A kumpigia kura mgombea wa Chama B kwa kisingizio Cha sheria MFU inayoxuia Chama A&B kupigiana kura kwa hofu tu ya kuilinda CCM!!
Ushirikiano wa vyama unawezekana wakati wote kwani mgombea akifa wanafanya nini? Si anateuliwa mwingine uchaguzi unaendelea?
Uharamu wake ni upo sasa kisheriaWalichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!
Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini
Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?
Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi
Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!
Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Kuna mijitu mipumbavu kama huyu msajili wa vyama anayezeeka na upumbavu wake.Huyo msajili ni kapi tu linalotumika kwa maslahi ya CCM!
Its a Shame kuwa msajili ni Jaji mstaafu!Mazee mengine yangepumzishwa tu huko yakalishe ng'ombe!