Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

INAONYESHA KAMA MSAJILI ANATAFUTA NAMNA YA JAMBO FULANI LAKINI ANAKOSA CHANZO SAHIHI KITAKACHOWEZA KU KNOCK OUT
Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.

Hii kauli ya Lowasa inafikirisha sana juu ya Hatma ya Magufuli
 
indeed truly infact nywele zaa binadamu zinaficha mengi mno nikimaanisha hata marehemu sheikh yahaya aliwahi sema kutambua reality ya mwanadamu ni kitu kigumu mno mno mno
 
Yaani nimekielewa vzr mno mkuu

1. Kwamba mwenyekiti wa ACT aweza kuwa na matakwa binafsi yasiyowakilisha chama.

2. Aweza kumchagua yeyote. Ndio
3. Kuwa hakuna kikao cha ACT kimewahi kutangaza kuwa na umoja au kuungana na CDM . Safiii

4. Issue ina kuja kujibu barua ambayo sasa ni ya kiofisi. Na imethibitisha pasipo shaka kuwa wao hawana shaka na TL kuwa mshindi.
Kwanini wasingejibu inshort kuwa hawajaungana na clip hiyo ni maoni binafsi ya aliyeyasema?
 
Daah! Mstari umebeba maneno mazito na yenye kubeba matumaini ya watu.
Mwandishi kapiga kampeni hadi kwenye barua ya msajili, msajili inabidi atulie sana kuijibu la sivyo atazidi kuumbuliwa tu.
 
Mwandishi kapiga kampeni hadi kwenye barua ya msajili, msajili inabidi atulie sana kuijibu la sivyo atazidi kuumbuliwa tu.
Hawa tume wanazidi kumdhoofisha jiwe kwa kuendelea kuwakandamiza wagombea wa upinzani
 
Mbona UDP n TLP waliongea kuunga mkono ccm na Hawajaambiwa barua wala nini kwa nini wakiunga wengine kuna mda tume inaonyesha dhahiri ipo upande gan na kwa nini waogope vyama kuungana mpaka wanatunga sheria kweli Haki haipotei inachelewa tu. Na Tume wasipokuwa Makini ndio chanzo cha yatakayotokea mbele watu wamechoka na ujinga
 

Usikariri ukiwa CCM utamchagua CCM hata mwalimu Nyerere alikataa alichosema Sharif sio kauli yachama nikauliyake anamuunga mkono lisu iwapo uchaguzi utafanyika inamaana kura ya maalim anampa lisu kosa lipowapi kura nimali yake ameamua kutokahadharani kuisemea angesema anampa jiwe kungekuwa shwari hakunatangazo hata tamshi tumeungana
MSAJILI WATANZANIA TUNAUPENDA UMOJA NDIO NGUZO YETU
LAKINI WEWE UNAONEKANA UNAPENDA MGAWANYIKO
kama unakipenda chama fulani toka kwenye ofice panda jukwaani uvae nasare yahicho chama
 
Kwani UDP na TLP wamesimamisha wagombea urais?! Au hata kuchuja mambo tu mnashindwa?
 
indeed truly infact nywele zaa binadamu zinaficha mengi mno nikimaanisha hata marehemu sheikh yahaya aliwahi sema kutambua reality ya mwanadamu ni kitu kigumu mno mno mno
Lowasa anatamani angekuwa kwenye mtiti wa Lissu....too late too little
 
Anavyoamini ushirikina huyo si ajabu yuko kwa mganga kwa chanjo zaidi na HIRIZI mpya maana hii ya sasa haifanyi kazi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi Jiwe yuko wapi?? Naona Wateule wake wako buzy kutafuta namna ya kumfariji.
 
Si mna bebru wenu Amsterdam ana wawakilisha?
Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.

Hii kauli ya Lowasa inafikirisha juu ya hatma ya Magufuli. Amejaribu kuwapa moyo wenzake leo lakini Lissu is a victor.
 
Kwahiyo Maalim amemkataa Membe kwakuwa Membe si Muoslam na anamkubali Lissu kwa kuwa Lissu si Muislam pia?.

Hata kama ulitaka walau utafute hoja ya Udini,katika mazingira haya hata kama wewe ni mbumbumbu ungeona hoja hii haiwezekani kwa vyovyote.

Maalim ni Mwenyekiti wa ACT, ni Muisilam, Zitto ni kiongozi mkuu wa ACT ni Muislam, Membe ni mgombea wa ACT, ni mkristo, Lissu ni mgombea wa CHADEMA ni mkristo, Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA ni mkristo. Sasa inawezekana vipi Maalim (Muislam) amkatae Membe mgombea wa ACT (Mkristo) ambaye ni mgombea wa ACT chama ambacho viongozi wa kuu ni Waislam( Akiwemo Maalim mwenyewe) Alafu amkubali Lissu (Mkristo) Mgombea wa CHADEMA kwa hoja ya kuubeba Uislaam?.
Seif kaingia ACT Wazalendo juzi tuu asaiv ana nguvu kupita zito amemkataa membe kisa udini na anazuga kum support lisu hatutaki watu wa dini sisi tuta mchagua mwinyi na Magufuli tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…