Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Alisikia shoga mmoja akininasibu mitaa ya AmbianceTukiamua mnaenguliwa wote tunambakiza Lipumba na Rungwe halafu tuone mtafanya nini
View attachment 1579498
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisikia shoga mmoja akininasibu mitaa ya AmbianceTukiamua mnaenguliwa wote tunambakiza Lipumba na Rungwe halafu tuone mtafanya nini
View attachment 1579498
Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.INAONYESHA KAMA MSAJILI ANATAFUTA NAMNA YA JAMBO FULANI LAKINI ANAKOSA CHANZO SAHIHI KITAKACHOWEZA KU KNOCK OUT
Mawazo yao sio muhimu sana, cha muhimu zaidi ni wahesabu kuraHujui wanawaza nini usidanganyike na rangi angalia mwanza wanaccm wanavyojiunga na Dogo janja
Rungu lipo pale pale, hakuna janja janja. ACT na CHADEMA waenguliwe kwenye mbio za Urais.
indeed truly infact nywele zaa binadamu zinaficha mengi mno nikimaanisha hata marehemu sheikh yahaya aliwahi sema kutambua reality ya mwanadamu ni kitu kigumu mno mno mnoLowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.
Hii kauli ya Lowasa inafikirisha sana juu ya Hatma ya Magufuli
Daah! Mstari umebeba maneno mazito na yenye kubeba matumaini ya watu.Hata hivyo ACT kinaamini Raisi Magufuli hatakuwa Rais baada ya uchaguzi wa October 28."
Yaani nimekielewa vzr mno mkuuMwenyekiti wa ACT bado ni mwananchi wa kawaida ana haki ya kuwa na maoni binafsi ya kisiasa.
Sasa Mkurugenzi awaachie ACT wenyewe waamue kama Mwenyekiti wao amekikosea chama au la, Lakini siyo kazi ya msajili kuzuia mwananchi kutoa maoni ya kisiasa.
Hivi ni lini Mrema amewahi kuandika barua kwa msajili kumjulisha kuwa TLP itaiunga mkono CCM kwenye uchaguzi huu?
Na ni lini na kwenye kikao gani kumewahi kuwepo kukubaliana kuhusu coalition kati ya TLP na CCM kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa?
Mbona Mrema na chama chake wanamuunga mkono Magufuli na Msajili hajawahi kuiandikia barua TLP kuhusu hilo?
Mwandishi kapiga kampeni hadi kwenye barua ya msajili, msajili inabidi atulie sana kuijibu la sivyo atazidi kuumbuliwa tu.Daah! Mstari umebeba maneno mazito na yenye kubeba matumaini ya watu.
Hawa tume wanazidi kumdhoofisha jiwe kwa kuendelea kuwakandamiza wagombea wa upinzaniMwandishi kapiga kampeni hadi kwenye barua ya msajili, msajili inabidi atulie sana kuijibu la sivyo atazidi kuumbuliwa tu.
Hivi nani aliwadanganya tafsiri ya 'UMMA' ni 'CHADEMA'?Canabis acha kuudharau Umma
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini LisSu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!
Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini
Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?
Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi
Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!
Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Hivi Jiwe yuko wapi?? Naona Wateule wake wako buzy kutafuta namna ya kumfariji.Hakuna kosa lolote hapo mbona Mrema kamuombea kura KICHAA?
Kwani UDP na TLP wamesimamisha wagombea urais?! Au hata kuchuja mambo tu mnashindwa?Mbona UDP n TLP waliongea kuunga mkono ccm na Hawajaambiwa barua wala nini kwa nini wakiunga wengine kuna mda tume inaonyesha dhahiri ipo upande gan na kwa nini waogope vyama kuungana mpaka wanatunga sheria kweli Haki haipotei inachelewa tu. Na Tume wasipokuwa Makini ndio chanzo cha yatakayotokea mbele watu wamechoka na ujinga
Jibu kwanza ndo uulize mkuu. Je Mrema keshajieleza je?Si mna bebru wenu Amsterdam ana wawakilisha?
Lowasa anatamani angekuwa kwenye mtiti wa Lissu....too late too littleindeed truly infact nywele zaa binadamu zinaficha mengi mno nikimaanisha hata marehemu sheikh yahaya aliwahi sema kutambua reality ya mwanadamu ni kitu kigumu mno mno mno
Hivi Jiwe yuko wapi?? Naona Wateule wake wako buzy kutafuta namna ya kumfariji.
Kwenye kamusi inasemaje?Hivi nani aliwadanganya tafsiri ya 'UMMA' ni 'CHADEMA'?
Lowassa: Mimi sina mashaka juu ya kushinda, mashaka yangu atapita kwa kura ngapi. Huko kwa kina Lissu wameanza kujipambanua sana, maneno mengi, fujo zile, wanaonekana kwenye mamitaa, matv, matv mengine yanatisha tisha lakini tulimwambia Rais wetu usitishike hata kidogo.Si mna bebru wenu Amsterdam ana wawakilisha?
Seif kaingia ACT Wazalendo juzi tuu asaiv ana nguvu kupita zito amemkataa membe kisa udini na anazuga kum support lisu hatutaki watu wa dini sisi tuta mchagua mwinyi na Magufuli tuu