Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

There is no wrong in this scenario!

The law doesn't prohibit any party or a person to endorse anyone, It only prohibits coalitions after a certain period of time prior to the general election
In the written ACT wazalendo official letter it is the party now that is endorsing Lisu not individual!!! Read the letter again

ACT wazalendo have their ow Presidential candidate Bernard Membe but in their official letter the party is endorsing Lisu!!!!! It is no longer an individual issue it is a party issue!!
 
There is no wrong in this scenario!

The law doesn't prohibit any party or a person to endorse anyone, It only prohibits coalitions after a certain period of time prior to the general election
Maalim Seif who said so is not a normal individual he is a national chairman of Act wazalendo and its spokesman. He spoke as a National Chairman of his party sio MTU wa kawaida wa mtaani!!!
 
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!

Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini

Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?

Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi

Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!

Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Ni ushahidi kwa mpumbavu kama wewe kufikiria ukiwa na mdomo ulionona basi mtu kala nyama kumbe ni lip stick tu.
Wewe nijinga lao kiwango cha CCM ya Magu.
 
In the written ACT wazalendo official letter it is the party now that is endorsing Lisu not individual!!! Read the letter again

ACT wazalendo have their ow Presidential candidate Bernard Membe but in their official letter the party is endorsing Lisu!!!!! It is no longer an individual issue it is a party issue!!

It is a belief of the party that their candidate will not win.

They believe that Lissu will win.

Believing is not an offence under the current law!
 
Maalim Seif who said so is not a normal individual he is a national chairman of Act wazalendo and its spokesman. He spoke as a National Chairman of his party sio MTU wa kawaida wa mtaani!!!
Msajili ndiye mlamikaji au katumwa?
Hicho kifungu hakijamtaja mtu au cheo chake ni sualakuangalia trend ya kampeni za wagombea.
Kwa hiyo na mimi nadiriki kusema ******** kaishiwa pumnzi kashtaki po pote.
 
Mwenyekiti wa ACT bado ni mwananchi wa kawaida ana haki ya kuwa na maoni binafsi ya kisiasa.

Sasa Mkurugenzi awaachie ACT wenyewe waamue kama Mwenyekiti wao amekikosea chama au la, Lakini siyo kazi ya msajili kuzuia mwananchi kutoa maoni ya kisiasa.

Hivi ni lini Mrema amewahi kuandika barua kwa msajili kumjulisha kuwa TLP itaiunga mkono CCM kwenye uchaguzi huu?

Na ni lini na kwenye kikao gani kumewahi kuwepo kukubaliana kuhusu coalition kati ya TLP na CCM kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa?

Mbona Mrema na chama chake wanamuunga mkono Magufuli na Msajili hajawahi kuiandikia barua TLP kuhusu hilo?
Mkutano Mkuu wa TLP ulimpitisha Rais Magufuli kuwa mgombea wao wa Urais! Inaonekana mambo mengi yanakupita mkuu wakati mwingine fuatilia taarifa za maana siyo kila siku na Saccos tu ya Chadema!
 
Msajili ndiye mlamikaji au katumwa?
Hicho kifungu hakijamtaja mtu au cheo chake ni sualakuangalia trend ya kampeni za wagombea.
Kwa hiyo na mimi nadiriki kusema ******** kaishiwa pumnzi kashtaki po pote.
Muuza alkasusu wewe nikushtaki kwa lipi?
 
Maalim Seif who said so is not a normal individual he is a national chairman of Act wazalendo and its spokesman. He spoke as a National Chairman of his party sio MTU wa kawaida wa mtaani!!!

Wacha chama chake kimuadhibu kama amekikosea.
Siyo kazi ya msajili kuingilia maoni binafsi ya mwananchi
 
It is a belief of the party that their candidate will not win.
Before declaring party belief you should show us minutes of the general meeting of the ACT wazalendo party that passed thevresolution of that belief!! That from today our belief as a party will be this!!

Where are the minutes?
 
Una cheti cha Cambridge kama changu?

Nimekuandikia kiswahili angalau uelewe. Kingereza chako cha kiCCM ni ujazo wa maneno ambayo hata wewe ikirudi utajioni ni mjinga kiasi gani.
English please
 
Back
Top Bottom