Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Safi kwa uungwana
 
Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono...
Wote hao ni wakushindwa tu hakuna hata mmoja atashinda uchaguzi ila wanaruhusiwa kujifariji.
 
Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?

Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
Tayari hiyo taarifa ni official, na kutokana na sheria za uchaguzi za sasa hii ndio njia pekee tu ya kuwapiga chenga NEC, kwenye karatasi ya kura lazima jina la membe liwepo tu, ila muda bado ni mrefu sana, kuwaelimisha wananchi kuwa sasa ACT, wazalendo, wamejiunga na CDM, muungano wa hiari tu, kura za membe apewe lisu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…