Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mimi ni ccm ila mwaka huu kura nampa Tundu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa kuwa Mirembe au kwenu kijijini ukitambikiwaKwa hiyo?
Tupe linkCCM Zanzibar imemeguka mbaya nimeona wanachama wa CCM wanapeperusha bendera za ACTWazalendo kwikwikwi
Ingieni You tube
Karibu sana utakuwa umeitendea haki nchi yako na uzao wako huko mbrleniMimi ni ccm ila mwaka huu kura nampa Tundu Lissu
Utaanza wewe kwenda huko Mirembe, unasikia?Unatakiwa kuwa Mirembe au kwenu kijijini ukitambikiwa
Safi kwa uungwanaTujadili kwa hoja ndugu zangu, tuache matusi na zaidi sana tusiwabeze viongozi kwa kuwatamkia maneno mabaya.
Binafsi sijapenda kabisa kudhalilishwa kwa maumbile ya mgombea kwani hii inaamsha hasira na kufanya watu waandike mambo yasiyoandikika.
Tuwapigie debe wagombea wetu bila kudhalilisha wagombea wengine
Hii kali kwahiyo kumtumainia Mungu ni kuota ndoto za mchana.Kudadaadeki, unaota ndoto mchana.
Ulikua hujui?Hii kali kwahiyo kumtumainia Mungu ni kuota ndoto za mchana.
Halafu mkuu kama sijasahau ww si ulikuwa pro-magufuli hivi karibuni?Ndio tutavyofanya Mkuu. Tulishajiapiza hivyo siku nyingi sana.. tangu chama chetu kigeuzwe chama cha kikanda.
Ataula kwenye serikali ya mh. Tundu LissuKwa hiyo Membe amebaki na mamluki wake zitto?
Mmh!MAGUFULI anamzidi LISSU mara mamilioni (millions times).
Kwani mimi chizi kama wewe, kila mtu hapa barazani anakushambulia au kukushangaa.Utaanza wewe kwenda huko Mirembe, unasikia?
Wote hao ni wakushindwa tu hakuna hata mmoja atashinda uchaguzi ila wanaruhusiwa kujifariji.Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono...
Ngoja niitafute nilikuwa naiangalia Leo mchanaTupe link
Wewe ni zaidi ya chiziKwani mimi chizi kama wewe, kila mtu hapa barazani anakushambulia au kukushangaa.
Uongo wa namna hiio kauhibiri Burundi na Congo sio tanzaniaLISSU hana sifa hata moja ya kuongoza Tanzania. Watu waliolewa amani tu ndo wanaweza kumchagua.
Yani mnachanganyikiwa mpaka mnamkufuru Mungu Lissu alizaliwa mzima serikali ya mcc ikataka kumuua Mungu kakataa hivi hamuoni hata uchaguzi huu ni CCM vs God?Atajinyea yeye kwanza na kale kamguu kake.
CCM hatuna mazuzu kama wewe!Mimi ni ccm ila mwaka huu kura nampa Tundu Lissu
Upuuzi mtupu.Yani mnachanganyikiwa mpaka mnamkufuru Mungu Lissu alizaliwa mzima serikali ya mcc ikataka kumuua Mungu kakataa hivi hamuoni hata uchaguzi huu ni CCM vs God?
Tayari hiyo taarifa ni official, na kutokana na sheria za uchaguzi za sasa hii ndio njia pekee tu ya kuwapiga chenga NEC, kwenye karatasi ya kura lazima jina la membe liwepo tu, ila muda bado ni mrefu sana, kuwaelimisha wananchi kuwa sasa ACT, wazalendo, wamejiunga na CDM, muungano wa hiari tu, kura za membe apewe lisu!!!Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?
Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu