Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Kama mlivyokuwa mnamsifia jiwe kwamba 2020 hana haja ha kupiga kampein badala yake kakutana na mziki mnene Hadi kaamua kubeba wasanii wote ili kuvuta watu [emoji2957]
Mkuu anafanya hivyo kukwepa sheria ya NEC. Wewe jiulize kwa nini hapigi kampeni?.
huu mwaka tutaona mengi
Membe nani ACT Wazalendo..Maalim kaja na mamilioni ya watu..Fikra za mwenyekiti hazipingwi..hiyo video hapo juu ni jana ZNZwacha kujikanyaga, jana membe kaweka mkazo twitter! wewe unaleta post za miezi 6 nyuma, Na kwa kuongezea zitto nae kaweka mkazo kama ulifuatilia mahojiano yake bbc! inshort wewe endelea kuishi kwenye game lako, cha msingi jiandae tu kisaikolojia, angalia hii tweet imepostiwa lini na picha lako lina miezi mingap
bila shaka utatuliza presha sasa
Mbali huko Kenya hapo wanasubiri tuVikosi viko stand-by pale us military base Djibouti. Ajaribu aone
😂😂😂😂😂Mbali huko Kenya hapo wanasubiri tu
Hata wakiungana wote, hawawezi shinda. Mara 100 wangegombea ubunge tu.RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache zilizopita akiwa kwenye Kampeni katika Jimbo la Donge.
View attachment 1576741
Msemaji wa ACT-Wazalendo ameithibitishia JamiiForums kuwa huu ndio msimamo wa chama.
Mapema mwezi huu, Lissu alitangaza kumuunga mkono Maalim Seif akisema Chama cha ACT-Wazalendo kinaweza kuiondoa CCM madarakani visiwani Zanzibar
View attachment 1576754
Bila Shaka kura yako itakuwa game changer..tehtehteh..ukipiga kura yako tu Lissu atakuwa Rais...hahahahaNimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.
Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Duh.. Yani hata wewe unashangilia huu ujinga?Tume ya Taifa ya Uchaguzi na CCM ndio watajua hawajui na Sheria yao ya vyama kuungana miezi mitatu kabla ya Uchaguzi nyambafu zao.
Mpya sana zaidi ya 2015?Hii ni Tanzania mpya baada ya hapo sahau kitu mnajiita amani
Time is the best teacherZama zinabadilika sio kila homa ni maleria,wewe endelea kukariri hivyo hivyo.
Mkuu vyama vingeungana mapema impact ingekuwa kubwa sana. Mpaka sasa hata kama Membe aungana na Lissu tayari Membe hana wafuasi wa kuleta impact tofauti na joto aliloleta alipojitoa CCM kufanya aonekane ni bora zaidi au sawa na Lissu kiushawishi tofauti na picha ya sasa.Tume ya Taifa ya Uchaguzi na CCM ndio watajua hawajui na Sheria yao ya vyama kuungana miezi mitatu kabla ya Uchaguzi nyambafu zao.
Unaikumbuka ile slogan ya UKUTA? Ulienda barabarani? If No, expect the same thing.Hutapata muda wa kuirudia kwa sababu wote tutakuwa barabarani tukiwatafuta polepole
Dom kwenyewe watagawanaKama Hamjui mtajua mwaka huu. Lindi, Mtwara, Zanzibar na Tanga Membe na Maalim wanapeleka kura zote kwa Lissu!
Kigoma na Tabora- Zitto Kabwe anapeleka kura zote kwa Lissu
Tundu Lissu anamalizia Dar es Salaam, Morogoro, Iringa, Singida, Mara, Kagera , Mwanza, Simiyu, Katavi, Rukwa , Mbeya , Songwe,Njombe na Pwani, Arusha, Kilimanjaro na Manyara huku Shinyanga akibeba Nusu!
Magu anachukua Geita na Dodoma!!!
CCM ndo watajua hawajui mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Go Lissu.......,,,,,,,,,
CCM na NEC yao wanajua hilo. Ndio maana wanajifanya kuacha habari za walinzani zitangazwe bila bugudha ila mchezo wote upo kwenye kudoctor kura. Utashangaa sana.This time "The Hague" wanafatilia matukio yooote kwa karibu sana!
Kwani lazima kuwa mwanachama wa chama fulani ndo upigie chama hicho? Kwa wale wanaojitambua wanaweza wasifanye hivyo. Hivi waliojiandikisha wote ni kutoka kwenye vyama vya sasa hakuna wananchi wa kawaida?Yaan kushangilia hoja ,hii kwa watu was cdm.Inaonyesha hamna matumaini kabisa.Kwani act,ina watu wangapi?Tuongee kwa statistics ,tusidanganyane.
Upinzani ulishakufa tangu 2015 kililichobaki ni futuhi.
[/QUOTE
Huna akili ya kutunga kitu kingine kila siku comment hiyo hiyo??!
Labda siku sheria za uchaguzi zikifanyiwa marekebisho makubwa. Only in Tanzania matokeo ya urais ya NEC ni alfa na omega na hakuna yeyote anayeweza kuyahoji. Yaani NEC wanaweza tu kupindua meza huyu akapewa ya yule na jeshi likaanza kumlinda aliyepewa ushindiUko sahihi, kauli hiyo ilishatamkwa na mbunge flani hivi-bungeni.
Lakini huwa yana mwisho wake.