Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Maombi yako yamepokelewa.
 
Inaenda kuandikwa ya upinzani kuangukia pua kuliko wakati wowote katika history ya nchi hii.
 
Hizi ndio kampeni za kisayansi sasa sio zile za kupakia watu kwenye malori na kuwakemea wapiga kura
Ni vema wakapakiwa watu wazima ambao kisheria ni wapiga kura. Picha nyingi za mikutano huwaonesha na watoto wadogo. Jana mh Magufuli Tabora walikuwepo na wanafunzi. Shule zilifungwa!
 
Wananchi watachukua, wataweka, waaaa

Ninahisi Mbowe, Mnyika na Msigwa watampigia Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…