Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Habari ndio hiyo.tujiandae Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chadema Bwana Tundu Lissu kuungwa mkono na vyama vingine vya upinzani.
View attachment 1577025
Breaking news ya masaaa 16 yaliyopita? Utakuwa ulilala chini ya mwamba wewe