Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza leo kuwa chama hicho kinamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano huku akimuacha Bernard Membe kwenye mataa.
 
Safari hii tutawadhibiti pakubwa!!
 
Ccm washapanick, mpaka wakatoa takwimu zao za utafiti lkn ukijumlisha jumla yake inazidi 100%.

Na husiombe gegerea akushike korodani ukiwa ndani ya maji ukiogerea, mtu mzima lzm ulie kama mtoto.
Hali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu
 
Ndoto za mchana,,,ukimchunguza vzuri MS anakadi ya CCM,,,
So wake up broo,,!!
 
Hivi kweli.mwenye akili.timamu utapoteza muda wako kumpigia kampeni Membe? Mtu ambaye aliahashindwa kabla hajaanza ambaye mwisho wa siku atarudi zizini bila mkia na kuanza kashfa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…