Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwakuwa Seif kasema rais wa tz ni Lisu?
Nguvu ya umma mkuu,inaonyesha dhahiri mtalii wa chato hana chake,ndani ya chama hatakiwi sembuse sie wa kaliua ,Go Lissu
 
Aisee, Kwa hiyo Seifu atawabeba kwenye gari wapiga kura wakampigie Lissu kura?? Njaa mwana malevya, shibe mwana malegeza!!
 
Wakuu muniombee niwe mzima tarehe 28 ya Oktoba niamke mzima nikapige kura kwa mara ya kwanza tangu nipate akili.
 
U
Aisee, Kwa hiyo Seifu atawabeba kwenye gari wapiga kura wakampigie Lissu kura?? Njaa mwana malevya, shibe mwana malegeza!!
hahahaaaa.... naona dawa ishaanza kuingia!
 
Yaan kushangilia hoja ,hii kwa watu was cdm.Inaonyesha hamna matumaini kabisa.Kwani act,ina watu wangapi?Tuongee kwa statistics ,tusidanganyane.
 
Reactions: nao
Hii nchi sio ya CCM..

Acha kutuletea pigo za kiwaki bro..itabaki kuwa hivyo hadi lini?..wana hati miliki ya hii nchi?
Hiyo ni fact, hao mnaowapambania wote ni CCM, njoo baada ya uchaguzi tujadiliane
 
hahahaaaa.... naona dawa ishaanza kuingia!
Hahaha mkuu dawa si kali wagonjwa wanaekiti tu kuwa dawa imeingia, kumbe wanawashangaa madaktari namna ambavyo hamjafuzu taaluma yenu.
 
Mungu atusimamie tuwe na uchaguzi ulio wa waki na huru kwa pande zote, siku zote haki ni ya muhimu sana,pasipo haki utaona vulugu, vita na machafuko mengine, ila palipo na haki utulivu upo mana kila mtu ataridhika na alichopata. Tuheshimu maamuzi ya watu, waamue wanae mtaka kuwaongoza
 
Viva Magu 2020 to 2030[emoji3][emoji3]
Heil JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…