Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?

Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
Zitakuwa chache sana kuliko angeendelea na kampeni.
 
Twende na Membe imepoteza mwelekeo

Nasubiri tumeibiwa kura[emoji3][emoji3]

Viva Magu 2020 t0 2030
 
Uko sahihi, kauli hiyo ilishatamkwa na mbunge flani hivi-bungeni.
Lakini huwa yana mwisho wake.
 
Imeisha hiyo automatic Membe is out of the game.

Kimkakati upinzani mwaka huu upo vizuri kuzidi hata ile ukawa.

Wangeungana Magufuli angeanza kuwanunua

Mwaka huu anunuliwi mtu hata mmoja.

Lissu shikilia hapo hapo mpaka mtu ajiiiii......
Uzuri lisu ni mwanasheria...wakitudhulumu kishenzi kura zetu tunakwenda mahakamani
 
Asante kwa Madini Mkuu
 
Ikulu ni mahali patakatifu siyo kila mtu ana sifa za kuwa ikulu. Wapinzani bado sana kufika ikulu
 
Jamani nauliza tu dream liner inaweza kutua pale Frankfurt?
 
Imeisha hiyo automatic Membe is out of the game.

Kimkakati upinzani mwaka huu upo vizuri kuzidi hata ile ukawa.

Wangeungana Magufuli angeanza kuwanunua

Mwaka huu anunuliwi mtu hata mmoja.

Lissu shikilia hapo hapo mpaka mtu ajiiiii......
Waswahili wanasemaga imetoka hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…