Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Huko ni kujilisha upepo/kujifariji.

Tatizo kubwa ni kwamba, watu hawafanyi utafiti wa kina kuhusu wagombea. Wao watumia kigezo cha watu wanaofika kwenye mikutano ya Kampeni.

Mimi nimefanya utafiti mdogo kwa mitaani na kupata maoni ya watu kuhusu wagombea wa Urais. 90% hadi 97% hivi ya watu wanamkubali sana JPM. Hao ni pamoja na wale wa vyama vingine ambao wanasema wazi kabisa kwamba, kwa upande wa Urais watampa kura JPM, labda kwa Wabunge na Madiwani wanaweza kubadilisha au la.

Kumbukeni hata EU wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa, mpaka sasa JPM anaongoza kwa zaidi ya 85%.
 
Mkuu nimeongea na jamaa zangu ambao wako CCM wanasema kuwa mwambieni Lissu kura atazikimbia mwenyewe😂
Wanajifanya kumkenulia jiwe ila wamekuwa ni Mchwa hataree
Hahaa nimeona sehemu nyingi sana. Watu wanaogopa kuionesha lakini mawazo na akili zoa ziko kwa Lissu.
 
Huko ni kujilisha upepo/kujifariji.

Tatizo kubwa ni kwamba, watu hawafanyi utafiti wa kina kuhusu wagombea. Wao watumia kigezo cha watu wanaofika kwenye mikutano ya Kampeni...
EU ya chato. Ingekuwa ingi wa wahuhiriaji wa mikutano haina impact kulikia hakuna haja ya kubeba watu kwa malori, mikokoteni na kifunga vyuo na shule kila anapopita yule mzee wa fungu la kukosa
 
Mmempiga risasi mkitaka afe na mazishi mkayaandaa Mungu kagoma bado hamuoni ni muujiza mnamkejeli kwamba ni kilema je alitoka tumboni me mama yake vile?

God vs CCM who would win? Subirini mapigo.
Hii kashifa itawatesa sana wanaccm mpaka makaburini kwao
 
Sasa Membe kaleta upinzani wa kweli. Huu ndio upinzani tulikuwa tunataka sio ule ukinyimwa kugombea unajitoa. Upinzani wa Dr Slaa na Lipumba. Walipigania haki kwa muda mrefu lakini ilipokaribia kupatikana wakasaliti kati kubwa waliikwisha ifanaya kwa maslahi yao binafsi.

Sasa imani yangu inarejea kwa huyu kachero.

Let us expect huge things to happen very soon.

🔥🔥🔥🔥🔥🔥


😂 😂 😂 😂 😂
 
Mtu anapigwa spana za kila aina...
IMG_20200921_172024.jpg
IMG_20200921_171904.jpg
 
Back
Top Bottom