Tanganyika haipo as a state kama wao walivyo.Yapi hayo yanabaki ya nje ya mamlaka? Kwanini yabaki nje ya mamlaka ya Zanzibar ila Tanganyika Bado Ina "mamlaka" yake!!
Sasa ukifumba mdomo tutajuaje kama una hoja ya msingi au lah?Kama ni hivyo kwanini serikali ya tanzania bara na viongozi wake wasi iachie zanzibar ?
Acha kuongea usilolijua mzee. Ngoja nifumbe mdomo wangu. Endelea kuongea kwa mihemko.
ACT wanafanya siasa hadaa, ambazo walistahili kuifanya enzi ya zama kupambana na ukoloni siyo sasa.Hivi suala la serkali moja kwanini wengi hawalipigii chapuo! Kwangu naona zanzibar iwe tu mikoa. Serkali moja. Bunge 1. Mahakama 1.
Haiwezekan tumeshafikia maono ya Africa Mashariki kuelekea sarafu 1.
Africa 1.
Alafu bado Tanzania tunajikata vipandepande
Mkuu mimi sina chama chochote. Ni raia tu wa kawaida. Ila kitendo cha ACT Wazalendo kuipigania Zanzibar pekee kuwa na mamlaka kamili huku wenye akili tukiona kwamba ni Tanganyika pekee ndio iliyokuwa inahitaji haya mamlaka kamili kinashangaza sana.Kwani lazima wapinzani wote wafanane mawazo?
Hamuwezi kufanya siasa bila kushambulia wengine?..
Au upinzani ni Chadema peke yake?
Wengine lazima wapigwe vita??
Ulisema kwamba Zanzibar haiwezi kuwa na muungano kisa Ina watu wachache. Ndio nkasema nchi kuwa na watu wachache sio issue hata The Gambia ni nchi ndogo kispace na population ila iliwahi kuwa na muungano na Senegal huko nyuma licha ya disparity hiyo.Mfano wako wa Gambia hauendani na wa Zanzibar kwa sababu Gambia ni nchi kwa mujibu wa sheria za kimataifa
EU wamewezaje? Yaani Zanzibar inatakiwa iwe na mamlaka kamili alafu Tanganyika iwe na mamlaka kamili kupitia koti la Muungano. Kwa hiyo nchi mbili ila Zina muungano kwa baadhi ya mambo kma Fedha, jeshi n.k mbona simple tu.Sasa Zanzibar haiwezi kuwa na mamlaka kamili kinchi kama zilivyo nchi zingine huru halafu kuwe na Muungano
Tanganyika ipo mkuu, mfano wizara ya michezo sio jambo la muungano hivyo Yule waziri ni wa Tanganyika maana Zanzibar Wana waziri wao wa michezo!Tanganyika haipo as a state kama wao walivyo.
Ana Domo Zito huyo sijai ona hata
Wapewe nchi yao kina nani? Maana tayari Zanzibar wana nchi yao, lkn hakuna nchi inayoitwa Tanganyika.Wapewe inchi yao, na Tanganyika wapewe ya kwao, watakaokataa kumuachia mwenzake hao ndio wakorofi
Najua tu upo upande hautaki kuachia ila unajidai kama unataka, fix tu
Zanzibar wapewe yao na Tanganyika wapewe yaoWapewe nchi yao kina nani? Maana tayari Zanzibar wana nchi yao, lkn hakuna nchi inayoitwa Tanganyika.
Hapo nimekuelewa vizuri mkuu.Zanzibar wapewe yao na Tanganyika wapewe yao
Yaani mamlaka kamili, kila mmoja abaki kwake, mambo yaishe hatutaki kunyonyana
Wasiwas wako uko wp? Ww huwezi kuishi bila ya wazanzibar?Kwa hiyo Tanganyika itakuwa Vipi !.
Hawawezi kushiriki katika Olympics au World Cup kwa sababu vyombo hivyo vinatambua nchi zenye mamlaka kamili peke yake ( isipokuwa tu kwa Umoja wa Kifalme kwa sababu msingi wa mpira ulikuwa ni ushindani kati ya England, Scotland na Wales). Njia pekee ya Zanzibar kushiriki kama Zanzibar ni kutoka kwenye Muungano.Yaani muungano wa Sasa Kuna masuala ya muungano, masuala yasiyo ya muungano bara, na masuala yasiyo ya muungano Zanzibar.
Sasa katiba inasema serikali ya muungano ni both masuala ya muungano na masuala yasiyo ya muungano ya bara.
Na Zanzibar inasimamia masuala yasiyo ya muungano kwa upande wake.
ILA
Tanganyika (Ambayo ndio hiyo hiyo muungano) inawaamulia mambo yasiyo ya muungano.
So wanachotaka mfano michezo sio suala la muungano why hawawezi kushiriki Olympic au AFCON!! n.k so wao wanataka hicho tu Cha kujiamulia wenyewe mambo yasiyo ya muungano kama afya, elimu n.k
Cc Mohamed Said
European Union sio nchi bali ni ushirika wa nchi kama ilivyo EU. England, Wales, Northern Ireland na Scotland hazina mamlaka kamili. Scotland, Wales na Northern Ireland zina mabunge na serikali zao kama ilivyo Zanzibar lakini maamuzi makubwa yanayohusu UK yanafanywa Westminster.EU wamewezaje? Yaani Zanzibar inatakiwa iwe na mamlaka kamili alafu Tanganyika iwe na mamlaka kamili kupitia koti la Muungano. Kwa hiyo nchi mbili ila Zina muungano kwa baadhi ya mambo kma Fedha, jeshi n.k mbona simple tu.
Kama tu Wales na England nchi Zina mamlaka kamili ila zinashirikiana vitu Fulani ambavyo ni vya muungano.
So Zenji ingekua WHO, FAO, n.k na Tanganyika (ambayo imevaa koti la Tanzania) nayo iwe member.
Tuwe na mfumo kama wa EU, au Common market tu, Integration fulani Ili Kila nchi iwe na uhuru kwenye mambo yasiyo ya muungano