Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Tanganyika haipo as a state kama wao walivyo.Yapi hayo yanabaki ya nje ya mamlaka? Kwanini yabaki nje ya mamlaka ya Zanzibar ila Tanganyika Bado Ina "mamlaka" yake!!
Kuna ajira ngapi ambazo wazanzibar wanazipata kupitia Muungano?
Bila shaka tukienda wanakotaka waathirika wakuu ni wao wenyewe maana Tanzania bara hakuna inachonufaika na Muungano kiuchumi zaidi ya kisiasa tu