Pitia hapoHapa mimi nazungumzia kabla ya kuchukuliwa sukari yao, kwa nini wasipelekwe mahakamani ili mahakama ikatoe tafsiri iwapo kuna sheria inayomkataza mtu kuhifadhi sukari kwa kiwango anachohitaji, au kuitumia kadiri anavyotaka?
Aiseee you have made my day mkuu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kauze yako! Mbona una akili primitive namna hiyo?! Kwenye biashara hakuna neno jamii: kuna bidhaa, wateja, na soko na ukipenda sema kuna bidhaa na soko tu! Badilika! Chukua hii misemo ikusaidie: 1. "simple minds discuss people" .2. "Ordinary minds discuss events" .3. "Great minds discuss ideas" .4. "Great minds turn problems into opportunities".
Wewe kama mtanzania unatoa mchango gani hata wa mawazo namna ya kuondokana na tatizo hili bila kuvunja morali wetu wa kutaka watanzania tujitegemee kiuchumi na tuwe wazalishaji wa bidhaa za madukani (final products eg. sugar) kwa haraka? Usiwaze viongozi wa serikali wanakusaidiaje tu...!bei elekezi ni tsh. 1800 kwa mujibu wa waziri, labda tusubiri bei elekezi mpya?! aache ukmya.
Vip mkuu sikuon hujanipa mrejesho kile kifungu nilichokuonyesha umepitia?Kwa nini wasipelekwe mahakamani kwa kukiuka sheria inayowalazimisha kuuza stock yao?
Nilikupuuzia kwa kuwa ulikuwa haujibu hoja zangu. Bila kujali Tanzania ipo katika mfumo gani wa uchumi, iwe capitalism, socialism au mixed economic system, ni vyema ujue mfumo wowote huwa unalazimishwa na sheria zilizopo. Huwezi ukawa unajiita kuwa upo na socialism wakati sheria za nchi hazilazimishi huo mfumo, the same to capitalism and mixed economic systems. Ndio maana wakati wa ujamaa na kujitegemea kulianzishwa Azimio la Arusha ili sheria ziendane na lengo.Vip mkuu sikuon hujanipa mrejesho kile kifungu nilichokuonyesha umepitia?
Nataka tujadil na wew mtetez au lugha imekusumvua kidog nikutafsirie?
Hivi kuna mtu wa kumgusa Zakaria kweli?mfanya biashara hana jina? mtaje tu mbona wa dar ameshjulikana ni zakaria
hamna mwenye jeuri hiyo maana biashara ya chakula market size yake ni kubwa zaidi ya bakhressa na gulam dewji wa METLHivi kuna mtu wa kumgusa Zakaria kweli?
Wasaalam wana jamvi!
Kwanza nianze kumpongeza Rais wangu mpende John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayo endelea kuifanya!
Ikumbukwe kwamba lengo la Rais kusitisha uingizwaji wa Sukari kiholela ilikuwa ni kulinda viwanda vya ndani na kulinda uchumi wa ndani pia!
Lakini pamoja na juhudi hizo za Rais kuna kikundi kisicho itakia mema nchi hii kimekuwa kikificha sukari ili kuonesha kuna uhaba na hivyo wananchi waichukie sekari yao!
Baada ya Rais kusema wazi ata hakikisha anapambana na wafanya biashara wanao jaribu kuhujumu uchumi na kuihujumu serikali kwa kuficha sukari ...leo hii Rais akiongea na wana Arusha amesisitiza tena asipewe lawama atapo washughulikia wahujumu uchumi hasa wanao ficha sukari ili serikali ionekane ni mbaya na haiwapendi wananchi wake..
Rais Magufuli amesema wazi kuwa leo hii atakamatwa mfanya biashara mwingine mkubwa huko Arusha kwa kuficha sukari nyingi sana na amesema amesha wakabidhi jeshi la polisi jukumu hilo kuhakikisha wana wakamata wote wanao ficha sukari!
Pia Rais amesema serikali haitoshindwa kamwe na hawashindwi kuagiza sukari lakini hawawezi kuwaacha watu wachache wahujumu uchumi kwa kuficha sukari na ameahidi kupambana na wahujumu uchumi!
Mwisho nampongeza tena Rais kwa kuendelea kuwanyoosha watu na kuto muonea huruma yeyote asiye itakia mema nchi hii..Mimi naomba ikiwezekana wanao kamatwa wafutiwe kabisa leseni za kufanya biashara ya aina yeyote kabisa hapa nchini!
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais John Pombe Magufuli!
Karibuni wana jamvi
Muulize yule Rafiki yake Lowasa aliyeficha sukari na soon atatumbuliwa!Rutta.kwa nchi yenye capitalism system uhujumu uchumi maana yake ni nini