Tetesi: Adaiwa kuficha tani tele za sukari Moshi

Tetesi: Adaiwa kuficha tani tele za sukari Moshi

Hapa mimi nazungumzia kabla ya kuchukuliwa sukari yao, kwa nini wasipelekwe mahakamani ili mahakama ikatoe tafsiri iwapo kuna sheria inayomkataza mtu kuhifadhi sukari kwa kiwango anachohitaji, au kuitumia kadiri anavyotaka?
Pitia hapo
1462611681406.jpg
 
Ngozi nyeupe ni wakuogopwa sana! Kama ni ubaguzi wanauanza wao bora tubaguane kwa rangi hii ngozi ya mtume wasiaminiwe ata kidogo..
 
Kauze yako! Mbona una akili primitive namna hiyo?! Kwenye biashara hakuna neno jamii: kuna bidhaa, wateja, na soko na ukipenda sema kuna bidhaa na soko tu! Badilika! Chukua hii misemo ikusaidie: 1. "simple minds discuss people" .2. "Ordinary minds discuss events" .3. "Great minds discuss ideas" .4. "Great minds turn problems into opportunities".
Aiseee you have made my day mkuu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
bei elekezi ni tsh. 1800 kwa mujibu wa waziri, labda tusubiri bei elekezi mpya?! aache ukmya.
Wewe kama mtanzania unatoa mchango gani hata wa mawazo namna ya kuondokana na tatizo hili bila kuvunja morali wetu wa kutaka watanzania tujitegemee kiuchumi na tuwe wazalishaji wa bidhaa za madukani (final products eg. sugar) kwa haraka? Usiwaze viongozi wa serikali wanakusaidiaje tu...!
 
Wasaalam wana jamvi!
Kwanza nianze kumpongeza Rais wangu mpende John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayo endelea kuifanya!

Ikumbukwe kwamba lengo la Rais kusitisha uingizwaji wa Sukari kiholela ilikuwa ni kulinda viwanda vya ndani na kulinda uchumi wa ndani pia!
Lakini pamoja na juhudi hizo za Rais kuna kikundi kisicho itakia mema nchi hii kimekuwa kikificha sukari ili kuonesha kuna uhaba na hivyo wananchi waichukie sekari yao!
Baada ya Rais kusema wazi ata hakikisha anapambana na wafanya biashara wanao jaribu kuhujumu uchumi na kuihujumu serikali kwa kuficha sukari ...leo hii Rais akiongea na wana Arusha amesisitiza tena asipewe lawama atapo washughulikia wahujumu uchumi hasa wanao ficha sukari ili serikali ionekane ni mbaya na haiwapendi wananchi wake..

Rais Magufuli amesema wazi kuwa leo hii atakamatwa mfanya biashara mwingine mkubwa huko Arusha kwa kuficha sukari nyingi sana na amesema amesha wakabidhi jeshi la polisi jukumu hilo kuhakikisha wana wakamata wote wanao ficha sukari!

Pia Rais amesema serikali haitoshindwa kamwe na hawashindwi kuagiza sukari lakini hawawezi kuwaacha watu wachache wahujumu uchumi kwa kuficha sukari na ameahidi kupambana na wahujumu uchumi!

Mwisho nampongeza tena Rais kwa kuendelea kuwanyoosha watu na kuto muonea huruma yeyote asiye itakia mema nchi hii..Mimi naomba ikiwezekana wanao kamatwa wafutiwe kabisa leseni za kufanya biashara ya aina yeyote kabisa hapa nchini!

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais John Pombe Magufuli!

Karibuni wana jamvi
 
Vip mkuu sikuon hujanipa mrejesho kile kifungu nilichokuonyesha umepitia?
Nataka tujadil na wew mtetez au lugha imekusumvua kidog nikutafsirie?
Nilikupuuzia kwa kuwa ulikuwa haujibu hoja zangu. Bila kujali Tanzania ipo katika mfumo gani wa uchumi, iwe capitalism, socialism au mixed economic system, ni vyema ujue mfumo wowote huwa unalazimishwa na sheria zilizopo. Huwezi ukawa unajiita kuwa upo na socialism wakati sheria za nchi hazilazimishi huo mfumo, the same to capitalism and mixed economic systems. Ndio maana wakati wa ujamaa na kujitegemea kulianzishwa Azimio la Arusha ili sheria ziendane na lengo.

Sasa nakuja kwenye hoja yangu ambayo hupendi kuijibu wala kuisikia. Je, kwa mfumo wa uchumi tulionao (bila kujali ni upi), sheria zake zinakataza mtu kuhifadhi katika ghala lake shehena ya bidhaa au malighafi anayoitumia kutengenezea bidhaa nyingine? Je, kuna sheria inayowakataza watengenezaji wa juisi, lambalamba na tamutamu nyingine kuhifadhi katika ghala zao sukari ambayo ni malighafi ya kutengenezea bidhaa zao? Naomba jibu uniwekee kifungu cha sheria, sio uniwekee definition ya economy system
 
mfanya biashara hana jina? mtaje tu mbona wa dar ameshjulikana ni zakaria wa KWANZA kushoto k kwenye picha

rais-kikwete-na-moyo-wake-kusaidia-wenye-dhiki-na-shida-akiwa-pamoja-na-wenye-moyo-wa-kujitolea.jpg
 
Rais ana lengo nzuri ila wafanyabiashara hawana utaifa wanachojali ni faida tu lakini wanasahau nguvu ya Rais
 
Putin aliwaambia wafanyabiashara, nyie mna hela mimi nina serikali, tutaona ipi ni nazi na lipi ni jiwe
 
Sukari si kama sindano kwamba unaweza ificha
 
Rutta.kwa nchi yenye capitalism system uhujumu uchumi maana yake ni nini
 
Wasaalam wana jamvi!
Kwanza nianze kumpongeza Rais wangu mpende John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayo endelea kuifanya!

Ikumbukwe kwamba lengo la Rais kusitisha uingizwaji wa Sukari kiholela ilikuwa ni kulinda viwanda vya ndani na kulinda uchumi wa ndani pia!
Lakini pamoja na juhudi hizo za Rais kuna kikundi kisicho itakia mema nchi hii kimekuwa kikificha sukari ili kuonesha kuna uhaba na hivyo wananchi waichukie sekari yao!
Baada ya Rais kusema wazi ata hakikisha anapambana na wafanya biashara wanao jaribu kuhujumu uchumi na kuihujumu serikali kwa kuficha sukari ...leo hii Rais akiongea na wana Arusha amesisitiza tena asipewe lawama atapo washughulikia wahujumu uchumi hasa wanao ficha sukari ili serikali ionekane ni mbaya na haiwapendi wananchi wake..

Rais Magufuli amesema wazi kuwa leo hii atakamatwa mfanya biashara mwingine mkubwa huko Arusha kwa kuficha sukari nyingi sana na amesema amesha wakabidhi jeshi la polisi jukumu hilo kuhakikisha wana wakamata wote wanao ficha sukari!

Pia Rais amesema serikali haitoshindwa kamwe na hawashindwi kuagiza sukari lakini hawawezi kuwaacha watu wachache wahujumu uchumi kwa kuficha sukari na ameahidi kupambana na wahujumu uchumi!

Mwisho nampongeza tena Rais kwa kuendelea kuwanyoosha watu na kuto muonea huruma yeyote asiye itakia mema nchi hii..Mimi naomba ikiwezekana wanao kamatwa wafutiwe kabisa leseni za kufanya biashara ya aina yeyote kabisa hapa nchini!

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais John Pombe Magufuli!

Karibuni wana jamvi

Hebu tufikirie kwanza. Kwa nini wafiche? Nashindwa kuelewa kama wanatanzania tunaijua concept ya free market economy. Practice ya free market economy siyo kuficha bidhaa ili iwe hadimu sokoni na mahitaji yapande ili utapotoa uuze kwa bei ya kuwakomoa wananchi. Hawa sasa wanataka turudi kweny hadithi ya bidhaa kuuzwa kwa bei ya Kuruka. Nakumbuka miaka ya 80 baada ya vita ya Kagera, Kila bidhaa ziliuzwa kwa bei ya kuruka, sukari, chumvi sabuni, sigara ... name the rest.. hata huduma ziliuzwa kwa bei ya kuruka. (Kumbuka kipindi hicho usafiri wa kwenda au kutoka bara ilikuwa train. Ukienda kukata ticket unaambiwa ticket zimeisha, lakini baadaye anakuja mtu anakuuzia kwa bei ya kuruka.
Kwa upande wangu nilishachoka na hizi bei za kuruka.. nasema wakamatwe tu maana hakuna namna nyingine kwa watu kama hao.
 
So dangerous........huijitaji degree kujua kinachofanyika ni kutumia nguvu nyingi wakati walikosea toka mwanzo....good intentions but poor strategy.......sikilizeni ushauri WA wataalamu...........
 
Umeandika kimahaba zaidi,mfanyabiashara hana jina na hata kg/tani zilizofichwa hazipo,pole yako
 
Back
Top Bottom