Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Usisahau pia aliyepiga aliomba msamaha na kusema angekuwa na uwezo angewashawishi wananchi kumchangia Magufuli pesa za vacation.

Akajikalie huko yeye ampigie kampeni tu akija endelee na kazi yake.
Mkuu umechangia kama mtu aliyekimbia umande.

Umesahau kuhusu mambo ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Mkuu umechangia kama mtu aliyekimbia umande.

Umesahau kuhusu mambo ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Sio kwamba umemuelewa Mchomvu tofauti na nilivyomwelewa mkuu?

Kwanini ufikiri sasa mimi ndiyo nilikimbia umande na sio wewe.
 
Unaweza ukamlazimisha binaadamu kumfikisha kwa nguvu unakotaka nautafanikiwa kumfikisha kimwili lakini sio kifikra,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120].
 
Alikuwa kavaa za chadema.
 
Mbasha hii ni laana ya kuchanganya jina la Mungu na utopolo wa ccm. Ona sasa mzigo wako Flora watu wanachapa, wewe nawe unachapwa mitama!
 

Mimi na wewe tunaweza tukawa waelewa wa hayo maneno "Bangi Sana" vipi wale wasioelea? Wale wanaotafsiri moja kwa moja? All and all haikuwa sahihi kuongea yale maneno kwenye umati wa watu tena Tanzania nzima walikua wanaangalia.
 
tunachosahau wasanii Hawaji bure kwa mapenzi yao, wao wamekuja kikazi na kimaslahi ,Hapo waandaji wamepiga pesa na ikiwezekana PCCB itupie jicho.
Msimu wa kupiga pesa huu.2015 wapo waliojenga nyumba na hawakuwahi tarajia hivyo kipato.
baada tu yakampeni
 
inawezekana anavuta kweli ule sio mtama ilitakiwa alopigwa adundie tako
 
Wazee wa kula buti na mtama za kutosha. Mtama kama jimbo na mtama kama buti
 
JK alisema hawa achiani maji ya kunywa kwny vikao vyao maana hawachelewi kuwekeana sumu.
Alafu Jiwe anatudanganya kuwa ndani ya ccm kumejaa mshikamano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matumizi mabaya na neno mtama Mtama gani huo yani unamshtukiza mtu na mtama tena uko nyuma yake bado anapata nafasi ya kushika chini ilitakiwa wakamuokote kwenye maspika kule
 
Ni ishara ya kiroho ya kipigo kinachokuja kuipata CCM October, chadema watumie ishara ya mtama katika kampeni zao kama kibwagizo
Piga mtama! Mtama1, mtama 2, mtama 3. Wananchi mumeonaaaaa? Tena Lissu atapiga mtama kwa mguu ulio mbovu jinsi mpinzani wake alivyo dhaifu!
 
Ni ishara ya kiroho ya kipigo kinachokuja kuipata CCM October, chadema watumie ishara ya mtama katika kampeni zao kama kibwagizo
Mtama kama Tendo, au mtama kama Jimbo, au mtama kama mtama. Maana aliyesema atapiga mtama anatokea jimbo la mtama na si mkulima wa mtama.
 
Mbasha hii ni laana ya kuchanganya jina la Mungu na utopolo wa ccm. Ona sasa mzigo wako Flora watu wanachapa, wewe nawe unachapwa mitama!
Hii comment imemdhalilisha mhusika kuliko hata tukio lenyewe wewe jamaa siyo kabisa.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…