DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mkuu umechangia kama mtu aliyekimbia umande.Usisahau pia aliyepiga aliomba msamaha na kusema angekuwa na uwezo angewashawishi wananchi kumchangia Magufuli pesa za vacation.
Akajikalie huko yeye ampigie kampeni tu akija endelee na kazi yake.
Umesahau kuhusu mambo ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.