Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Wewe ndio husikilizi baada ya kukatazwa na Mbowe. Usitusemee bana.

Mbowe tena du, haya bwana ungejua mimi ni CCM damu sema hujui tu.Si kila mwanachama wa CCM anaependa Clouds na si kweli eti kama baba yako anapenda nyama basi na wewe mtoto unatakiwa upende nyama
 
Jamani Cjapendakilichoke Kwenyekipindi Cha Xxl Jana Coz Mm Nishabikiwao,plz Aliekua Anackia Live Jana A2juze Ilikuaje.Ma2c Peleka Chumbani.
 
Daaa! Wajumbe wa humu mna maneno! Yaani mnafoka kana kwamba nimemzuia asiwatumie? Pole aise nishamruhusu hapo juu na atakutumia wala usijali.
kaka naomba yaishe...na kama nimetumia lugha kali Naomba msamaha kutok moyoni mwangu.....tusameheane....Naomba usamehe na kusahau....

ahsante kamautakuwa umenielewa...

Ubarikiwe!!!
 
kaka naomba yaishe...na kama nimetumia lugha kali Naomba msamaha kutok moyoni mwangu.....tusameheane....Naomba usamehe na kusahau....

ahsante kamautakuwa umenielewa...

Ubarikiwe!!!

Kwa moyo mkunjufu kabisa nimekusamehe mjumbe mwenzangu wa jf, sina kinyongo hata tone maana najua niko kwenye mkusanyiko wa jamii mchanganyiko. Uwe na amani na uwe na siku njema pia. Wa-shukrani kathiira kadhalika.
 
Waislamu wa Tanga wanasema. ukimzoea mbwa kuna siku atakufuata msikitini. Kwa mhuni hhuenda wahuni.
 
Haya sio maigizo ni real...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…