Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye radio za marekani kiti kama hicho hutokea sana kupata kiki!
But hawa jamaa Fatuma,Hamis Mandi na Adam Mchomvu wamebugi ile mbaya!!
Wewe ndio husikilizi baada ya kukatazwa na Mbowe. Usitusemee bana.
kaka naomba yaishe...na kama nimetumia lugha kali Naomba msamaha kutok moyoni mwangu.....tusameheane....Naomba usamehe na kusahau....Daaa! Wajumbe wa humu mna maneno! Yaani mnafoka kana kwamba nimemzuia asiwatumie? Pole aise nishamruhusu hapo juu na atakutumia wala usijali.
kwa uwandishi huo nenda facebook
kaka naomba yaishe...na kama nimetumia lugha kali Naomba msamaha kutok moyoni mwangu.....tusameheane....Naomba usamehe na kusahau....
ahsante kamautakuwa umenielewa...
Ubarikiwe!!!
Acha umbea ulivyosia ndio hivyo hivyo unataka vingine ili iweje