nilianzisha uzi wenye details kamili kuhusu tukio hili naona moods wameiondoa hata sijui kwanini! ila tukio ni la kweli..wametwangana wakiwa live studio! hakuna utani, wamepigana live chanzo kikiwa maslahi binafsi kuhusu kutoa na kusambaza cd za fiesta 2014. Kila mmoja anaona kaibiwa wazo lake
Mkuu, mbona unatumia nguvu kukanusha habari hii? Umesikiliza sms za wasikilizaji zinazotumwa kwenye kipindi cha Jahazi muda huu? Mbona waliopo studio hawakanushi, ila wewe ndio unakanusha kwa kutolea mfano matukio kama hayo ktk stations nyingine? Au wewe ndio uliyedundwa?kanituma baba ako?
yani mnaamini? That was a stunt haina ukweli. .hahahaha maigizo yale.
Ndio maana hata wamechagua mwisho wa kipindi ili wawaachie gumzo!
Wamewateka hahaha!
Mkuu, mbona unatumia nguvu kukanusha habari hii? Umesikiliza sms za wasikilizaji zinazotumwa kwenye kipindi cha Jahazi muda huu? Mbona waliopo studio hawakanushi, ila wewe ndio unakanusha kwa kutolea mfano matukio kama hayo ktk stations nyingine? Au wewe ndio uliyedundwa?
wameanza kutaniana kuhusu cd za fiesta, basi ukaingia ugomvi wakaanza kutukanana huku wapo on air.
source: Mimi mwenyewe
Mwenye kujua zaidi atuhabarishe
yani mnaamini? That was a stunt haina ukweli. .hahahaha maigizo yale.
Ndio maana hata wamechagua mwisho wa kipindi ili wawaachie gumzo!
Wamewateka hahaha!
yani mnaamini? That was a stunt haina ukweli. .hahahaha maigizo yale.
Ndio maana hata wamechagua mwisho wa kipindi ili wawaachie gumzo!
Aft eti wakajidai wamesahau kuzima mic.
Wamewateka hahaha!
Hilo ni dili watuibiwe kwa kutuuzia hizo cd wewe.
Waambie waonyeshe video wakitoka manundu na madamu tuamini.